Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

Hapana. Namaanisha yale matambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka mnayoenda uchagani kutoa kafara ili mtoboe maisha
Kikubwa ni kutoboa kwa kazi halali kuliko kuwa mafisadi kama mafisiem
 
Wanajamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
asante kamanda, na kwako pia. Ila husisahau bado mapambano yanaendelea
 
asante kamanda, na kwako pia. Ila husisahau bado mapambano yanaendelea
Mkuu kawaida ni kuwa ukiwa mwanajeshi kombati ndio rafikiyo muda woote na hakuna kulala hadi kieleweke kwa kila mwana ukawa
 

Attachments

  • 1451593923741.jpg
    1451593923741.jpg
    16.4 KB · Views: 17
Makamanda hongereni kwa ushindi wa 62% kwa Lowasa,makamanda mlifanya kazi kubwa.uvumilivu wa kisiasa,siasa safi na busara za mgombea na mwenyekiti zimeiacha nchi ktk hali ya utulivu,nasisitiza tena katika hali ya utulivu,amani haipo
bado unaamini el alishinda? maneno ya mch. msigwa yanakuhusu- upimwe akili.
 
Makanda ule mwaka wa kuzungusha mikono hatimaye umetoweka..

Sasa huu ni mwaka wa kupata mwenyekiti na katibu mkuu mpya!

Happy New year Makamanda
 
Makanda ule mwaka wa kuzungusha mikono hatimaye umetoweka..

Sasa huu ni mwaka wa kupata mwenyekiti na katibu mkuu mpya!

Happy New year Makamanda
Mtamzungusha yule mwenye meli iliyokamatwa na meno ya tembo
 
Heri ya mwaka mpya wa 2016 . Uwe mwaka wa mafanikio na baraka kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom