nakuona nyumbu wa lowasa katika ubora wakoAtazungushwa babako
Lofa katika ubora wake.
Umefurahi coz akili yako imejaa usaha. Mwenye ubongo hawezi andika na kufurahia upu.pu kama huo...Nimefurahi sana kwa post yako mkuu
Wanajamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
kamanda , upo mum ? shalom..
MUENDELEE KUFARIJIANA MAANA KESHO MKIAMKA TU, bakora ziko pale pale!
usaliti raha eh? subiri kujinyonga.Popooooooo, bawaaaaaaa
Tumeunda serikali ndogo kupunguza matumizi teh teh tehSisi huku ugambani tuna mawaziri 34,makatibu wakuu 50