uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
Teh teh teh hivi na we ni M4C au M4U maana nakumbuka nawe ni miongoni mwa waliobadilishia gia angani.Nawe Pia Kamanda wangu.
Ukombozi u karibu sana!
Teh teh teh hivi na we ni M4C au M4U maana nakumbuka nawe ni miongoni mwa waliobadilishia gia angani.Nawe Pia Kamanda wangu.
Ukombozi u karibu sana!
Kaka imeshatua kitambo ..marubani wote chali.. mmoja anachunga ng'ombe mwingine saa hizi anakula viroba na mbege kule kishumundu.Vp ndege iliyobadilishia gia angani ishatua??
Hahahahaha unajua haya manyumbu post zao za kujifariji zinaniachaga hoi kwa vicheko. Ni kama daktari anavyowafariji wagonjwa wa ukimwi.Kaka imeshatua kitambo ..marubani wote chali.. mmoja anachunga ng'ombe mwingine saa hizi anakula viroba na mbege kule kishumundu.
ni kweli mkuu ...yaani yanajipa moyo kama wale waumini walioenda airport wakiamini wataruka kwenda Ulaya bila nauli.. wakaambulia kutimuliwa... hawa jamaa ni shida.Hahahahaha unajua haya manyumbu post zao za kujifariji zinaniachaga hoi kwa vicheko. Ni kama daktari anavyowafariji wagonjwa wa ukimwi.
Endelea kusubiri boti airport itakuja kukubeba.Mtaendelea kuweweseka hadi ukawa ikabidhiwe ushindi wake wahalali
Teh teh teh naona mbege inapanda taratibu. Vp ushamaliza matambiko?Wewe ni ccm magufuri au ccm kinana?
Hahahahah ila mi nayapenda sana kwani yanatoa burudani kupitia fasihi... Yananipa raha sana.ni kweli mkuu ...yaani yanajipa moyo kama wale waumini walioenda airport wakiamini wataruka kwenda Ulaya bila nauli.. wakaambulia kutimuliwa... hawa jamaa ni shida.
Hapana. Namaanisha yale matambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka mnayoenda uchagani kutoa kafara ili mtoboe maishaKumtambika mjomba wako aliye potelea lumumba?