Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

kumbe ni jirani... mbona huku sisi ukiwa hakuna au seaview ipi hii hii ya jirani na mtu wa kazi braza beni au ipi?
Karibu na alipo kuwa anakaa sumaye
 
Nawapa Hongera na Heko wale wote wenye mioyo ya mabadiliko hadi sasa, tusikate tamaa.. Maana mabadiliko ya kweli yataletwa na cdm
Tujipe moyo one day yes..
 
Attachments

  • 1451591843692.jpg
    1451591843692.jpg
    59.1 KB · Views: 25
Nawapa Hongera na Heko wale wote wenye mioyo ya mabadiliko hadi sasa, tusikate tamaa.. Maana mabadiliko ya kweli yataletwa na cdm
Tujipe moyo one day yes..
Ukawa siitofautishi na arsenal na mbowe simtofautishi na Wenger na wanachama wao siwatofautishi na mashabiki wao
 
Back
Top Bottom