Endelea kuota ndoto za mchana kijana..Ccm ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiii,mafisadiiiiiiiiiiiiiiii
Mikoni inapatikana kwenye aya ipi?Kamanda mapambano gani ya kuzungusha mikoni?
Mafism.hayawezi kutakiana mema.maana majungu fitina ndio mtaji waoHatukushangai kwa lugha chafu kwani lumumba na matusi ni pete na kidole
Umeshahama huko mabondeni?.. au blablaa kibao thubutu kukutwa na tingatinga.Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.