Kweli kamanda ni muhimu tukatakiana kila la kheri wana ukawa wooteThnx Mkuu!! Ni ukweli usiyo pingika kwamba tumeshnda kwa 62% Na ni ukweli kwamba maccm hayatuwezi hata tuamshwe sa kumi usiku... Ukawa tulipambana na dola na si ccm, Na sasa laana ya Mungu imeanza kuwatafuna
PawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaPipoooooooooooooooooz.
Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
Mkuu laana gani tena tujuzeThnx Mkuu!! Ni ukweli usiyo pingika kwamba tumeshnda kwa 62% Na ni ukweli kwamba maccm hayatuwezi hata tuamshwe sa kumi usiku... Ukawa tulipambana na dola na si ccm, Na sasa laana ya Mungu imeanza kuwatafuna
Mkuu sana @Mmawia heri ya Mwaka mpya. Mapambano yanaendelea...Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.
UKAWA RAHA SANA..sibabaishwi na maigizo ya kupunguza mawaziri na kuongeza makatibu..
Nature ya post zako ni wazi kabisa kuwa wewe ni kijana msanii...kwa maana hiyo yakupasa umuheshimu sana waziri wakoKamuulize nepi
Ile unayoijua wewe na magamba wenzio..au kuna nyingine uliyoianzisha wewe na baba yako???Ukawa ipi? M4C au 4 U Movement?
M4CUkawa ipi? M4C au 4 U Movement?
M4C ipi? M4C Vibaka (Mbowe) au M4C Halisi (Dr Slaa)