Heri ya mwaka Mpya 2019

Nawatakia heri ya fanaka makamu wa rais mama yetu mpendwa samia suluhu Hassan na mh kasimu majaliwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

wito wangu kwenu busara zenu zitatuvusha !!!
 
Natamani sana kukijua KIARABU.
 
Nawatakia heri ya fanaka makamu wa rais mana têtu mpendwa samia suluhu Hassan na mh kasimu majaliwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

wito wangu kwenu busara zenu zitatuvusha !!!
Salamu zako zimetumia Kikokotoo Kipya mkuu, rudisha cha awali utaona mwenyewe itifaki itazingatiwa😀😀😀
 
Ile job application ya kuwa nyapala wa malaika lini wataita watu kwa usaili?
 
Nawatakia heri ya fanaka makamu wa rais mama yetu mpendwa samia suluhu Hassan na mh kasimu majaliwa waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

wito wangu kwenu busara zenu zitatuvusha !!!
Ni tetesi kwamba unawatakia heri ya mwaka mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…