Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

Hbd mkuu wa nchi!!! aka rafiki yake wa zamani na lowassa...
Mkuu swaiba wako na vijana wake hawakupendi tena baada ya wewe kuamua kuwa mzalendo.. wanataka kututeka kutufanya watumwa wao huku wao wakinywa kahawa kule migombani, mkuu sisi kama wazalendo tunapambana na tutapambana Magufuri aende ikulu... Hamna noma mkuu you have done your part and atleast we see the base line for the coming president,,, 64yrs sio mchezo mkuu huku uraiani tunakuita "mkwere," tutakuwa tunapita kukupa hi pale msoga...
 
Heri ya kuzaliwa mkuuu wa nchi. Live long, mungu awe nawe na abarik maisha yako.
 
Raisi wakati ukimaliza kukata keki na kupuliza mishumaa unaweza ukatutajia majina ya watu wafuatao;

1) Majina ya watu waliobeba mabillion pale Stanbic Bank kwa Magunia?!

2) Wamiliki wa hisa za Simba Trust ambao ndio wabia wenza wa Singasinga wa Escrow maana Simba Trust imesajiliwa Australia na wewe juzi juzi hapa ulikuwa huko kutunikiwa Shahada?!

3) Majina ya wale majangiri arobaini ambapo ulisema kiongozi wao yupo pale Arusha?!!

4) Majina ya wale wauza unga ambao tangu mwaka 2007 ulisema unawajua na majina unayo?!

5)Lile ekalu lako pale mtaa wa Migombani inasemekena ilikuwa nyumba ya umma,vp ulinunua kwa zabuni ama ulipewa zawadi tu?!

5) Yale majina ya wezi wa EPA ambao uliwaomba tu kiushikaji warudishe walichoiba,je nani na nani alirudisha na nani alikaidi?!!

6)Mkuu uliapa huwajui wenye Dowans na wala huna urafiki nao,vp huwajui hadi leo?!

7) Richmond mnasema ya Lowassa,je unaweza kutamka rasmi sasa kama ni yake?! Ukishattamka au usipotamka unaweza kusema 2006 kule Marekani ulisema umekutana na wawekezaji mathubuti wa Umeme na mgao utakuwa historia na ikajulikana ndio hao Richmond,imekuwaje tena leo ni feki?! Marekani ulikutana na wenye Richmond wapi na nani alikukutanisha nao?!

Nakutakia maisha mema na birthday njema ili uone vizazi vyako na vyetu kama vitaishi sawa na watoto wa Nyerere na sie walalahoi!!!

hilo swali la 5 highlighted in red kwa kweli tutamuuliza tu hata akitoka madarakan!!!
 
Hongera Rais wangu kutimiza makumi sita ya umri Wa kuishi. Ila mshuwakiukweli umetulotisha kinomanoma. Maisha maugumu kinoma.
 
Back
Top Bottom