Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

Sina hamu na CCM kwa mambo mengii ... ESCROW, EPA, UJANGILI, SEMBE, RICHMOND, MIKATABA YA KIFISADI, KUKWAPULIWA KWA MADINI YETU, GAS ... MAISHA MAGUMU, KODI KUBWA KWENYE MSHAHARA, MISHAHARA DUNI ISIYOKIDHI GHARAMA ZA MAISHA n so much more ...
 
Raisi wakati ukimaliza kukata keki na kupuliza mishumaa unaweza ukatutajia majina ya watu wafuatao;

1) Majina ya watu waliobeba mabillion pale Stanbic Bank kwa Magunia?!

2) Wamiliki wa hisa za Simba Trust ambao ndio wabia wenza wa Singasinga wa Escrow maana Simba Trust imesajiliwa Australia na wewe juzi juzi hapa ulikuwa huko kutunikiwa Shahada?!

3) Majina ya wale majangiri arobaini ambapo ulisema kiongozi wao yupo pale Arusha?!!

4) Majina ya wale wauza unga ambao tangu mwaka 2007 ulisema unawajua na majina unayo?!

5)Lile ekalu lako pale mtaa wa Migombani inasemekena ilikuwa nyumba ya umma,vp ulinunua kwa zabuni ama ulipewa zawadi tu?!

5) Yale majina ya wezi wa EPA ambao uliwaomba tu kiushikaji warudishe walichoiba,je nani na nani alirudisha na nani alikaidi?!!

6)Mkuu uliapa huwajui wenye Dowans na wala huna urafiki nao,vp huwajui hadi leo?!

7) Richmond mnasema ya Lowassa,je unaweza kutamka rasmi sasa kama ni yake?! Ukishattamka au usipotamka unaweza kusema 2006 kule Marekani ulisema umekutana na wawekezaji mathubuti wa Umeme na mgao utakuwa historia na ikajulikana ndio hao Richmond,imekuwaje tena leo ni feki?! Marekani ulikutana na wenye Richmond wapi na nani alikukutanisha nao?!

Nakutakia maisha mema na birthday njema ili uone vizazi vyako na vyetu kama vitaishi sawa na watoto wa Nyerere na sie walalahoi!!!
Wewe ndo umeharibu kabisaaaa hi birth day! Sasa mudi ya kugonganisha glass haipo tena, naomba mod ebu ondoa hii kitu kwanza hadi tumalize kusherehekea please.
 
Katika kisima ambacho mama yangu alikuwa anachota maji nikiwa na miaka 2 ndiyo hapo hapo maji yanachotwa tena sasa kwa shida,leo nina miaka 42,wanyama pori nao!.Namtakia maisha mafupi.
sikuachi nitakupata hata upite mwezi
 
Happy Birthday Mr President!



65 years sio mchezo.
 
Raisi wakati ukimaliza kukata keki na kupuliza mishumaa unaweza ukatutajia majina ya watu wafuatao;

1) Majina ya watu waliobeba mabillion pale Stanbic Bank kwa Magunia?!

2) Wamiliki wa hisa za Simba Trust ambao ndio wabia wenza wa Singasinga wa Escrow maana Simba Trust imesajiliwa Australia na wewe juzi juzi hapa ulikuwa huko kutunikiwa Shahada?!

3) Majina ya wale majangiri arobaini ambapo ulisema kiongozi wao yupo pale Arusha?!!

4) Majina ya wale wauza unga ambao tangu mwaka 2007 ulisema unawajua na majina unayo?!

5)Lile ekalu lako pale mtaa wa Migombani inasemekena ilikuwa nyumba ya umma,vp ulinunua kwa zabuni ama ulipewa zawadi tu?!

5) Yale majina ya wezi wa EPA ambao uliwaomba tu kiushikaji warudishe walichoiba,je nani na nani alirudisha na nani alikaidi?!!

6)Mkuu uliapa huwajui wenye Dowans na wala huna urafiki nao,vp huwajui hadi leo?!

7) Richmond mnasema ya Lowassa,je unaweza kutamka rasmi sasa kama ni yake?! Ukishattamka au usipotamka unaweza kusema 2006 kule Marekani ulisema umekutana na wawekezaji mathubuti wa Umeme na mgao utakuwa historia na ikajulikana ndio hao Richmond,imekuwaje tena leo ni feki?! Marekani ulikutana na wenye Richmond wapi na nani alikukutanisha nao?!

Nakutakia maisha mema na birthday njema ili uone vizazi vyako na vyetu kama vitaishi sawa na watoto wa Nyerere na sie walalahoi!!!

Hapo utaifanya keki yake ya BDAY aione chungu kwa hayo maswali. Itamkaba bure mtakie tu HAPPY BDAY PREZIDAA.
 
Happy Birthday Mr President!



65 years sio mchezo.

hivi kumbe huwa ni m babu kabisa? mbona hajawahi kuwa serious hata kuonea huruma taifa la Tanzania yeye na genge lake wanavyotafuna hii nchi namna hii? Si huwa wanasema utu uzima dawa jamani?
VIVA UKAWA!!!
 
Hb presida..... wapitishe salama watz na kwa haki mwezi huu maana ni kuhim kwako kwa kuzaliwa na uchaguz mkuu....
 
bwana mkubwa naisi ameshatengeneza good relation na USA , inabid akimaliza akapumzike hata new york
 
Happy Barth day....Mjomba,prof,alhaj,muheshimiwa,amiri jeshi mkuu...rais ....jakaya mrisho kikwete...mungu akujaalie mara mbili ya umri uliofikia
 
Akafie mbali huko,hatutaki ata kumsikia kuzaliwa mtu aliyetutia umaskini
 
Back
Top Bottom