TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,884
- 5,769
Kuonekena kwenye malumbano ya hoja kwenye TV yao amejiona naye anaweza kukaa dodomaTehetehetehetehe. Kweli siasa nyepesi sana. Hata Aweda naye awe Mbunge!
Kuonekena kwenye malumbano ya hoja kwenye TV yao amejiona naye anaweza kukaa dodomaTehetehetehetehe. Kweli siasa nyepesi sana. Hata Aweda naye awe Mbunge!
Hajitambui akili zake zinaishia pale kwenye marumbano ya hoja na tv ya nyumbani kwao.Kuonekena kwenye malumbano ya hoja kwenye TV yao amejiona naye anaweza kukaa dodoma
Nashangaa kazi kweli.Hivi ukishakuwa verified user jf tayari we ni mwanasiasa