Lily Flower usijali, manake sweetlady yupo na photocopy tuMungi yupi Lily Flower ? Mie mbona niko na Mungi tunapata lunch hapa nanihii...ameniambia nisitaje utatufuata !
Hahahaha! Niweke picha ?Lily Flower usijali, manake sweetlady yupo na photocopy tu
Mungi yupi Lily Flower ? Mie mbona niko na Mungi tunapata lunch hapa nanihii...ameniambia nisitaje utatufuata !
Asante sana Mkuu
Kwa wakati huu ni muda wa kutafakari ni wapi tulikosea na wapi twapaswa kujisahihisha ili kuweza kurudi katika mstari ulioonyooka
Kimaisha pia ni wakati wa kutafakari ni yapi tuliyafanya kwa ufanisi katika mipango yetu ya mwaka huu na wapi ambapo tulishindwa kufikia malengo yetu
Asante sana na tuombeane tuweze kuumaliza mwaka huu salama
Asante sana Meezy na akina Arushaone, Erickb52, Baba V, Kaunga, AshaDii, Asprin< Bishanga, Blaki Womani, sweetlady, snowhite, HorsePower, Preta, gfsonwin, Filipo, St. Paka Mweusi @st. ivuga, marejesho, na my wife wangu mpendwa Dena Amsi nawatakia maandalizi mema ya sikukuu zijazo hapa
Lily Flower usijali, manake sweetlady yupo na photocopy tu
????????????????????????????????????????????????Nani kakudanganya?
Hahahaha! Ataweka za zamani kabla hujamuacha na kuhamia kwangu! Mie naweka ya sasa hivilabda black & white! ukibisha nitamwambia Lily Flower akuwekee picha hapa
Hahahaha! Ataweka za zamani kabla hujamuacha na kuhamia kwangu! Mie naweka ya sasa hivi
????????????????????????????????????????????????
Love you too Erickb52 !
Hahahaha! Nimependa eti unaniona kwenye cctv lol! Lily Flower umepinda!