Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
- Thread starter
- #21
hahahaha!!! Eti Fox River,,,,nimeipenda mkuu
hilo si gereza la wenye vipaji! Hahahaha we unafikiri kusababisha mtikisiko wa ubongo ni kazi ndogo
hahahaha!!! Eti Fox River,,,,nimeipenda mkuu
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!
Jamani leo si ndo
tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa
pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox
river' alipo kuna jf!
Hii kiboko.
kumbe kakuakua,ilikuwa bado mwaka mmoko tu marehem ajihalalishie