Hepi besidei LULU

Happy b'day Lizy,sema unatimiza miaka tofauti tofauti hata sielewi,niko karibu nawewe ulipo jioni nikitoka job nakuletea cake!
 
Ila jamani, huyu dogo kamaliza 4rm km ckosei miaka kama 2 iliyopita,
ina maana alianza shule akiwa na miaka mingapi?
Bt anyway happy b.day shemeji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom