Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

yuko wapi huyu mtoto wa mwaka mmoja wa JF?..pia nawataka wazazi wake...
 
Hepi besidei, naomba ukojoe kiuongo uongo halafu uniite nije nikubadilishe nepi kiuongo uongo.. Sawa mtoto eeh?
 
Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.

heheeh half fellow tablet naona umekaa usawa wa panga ili camera isikunyake. na kapello yako ya kampeni za chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…