Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,713
- 670
Duh!, Kumbe mwisho wake ni KESHO KUTWA tu, basi apewe nafasi tena kesho amalizie gharama za malipo yake!. au ANALOJIA za ubongo zinafungwa lini?analojia huyo...
Duh!, Kumbe mwisho wake ni KESHO KUTWA tu, basi apewe nafasi tena kesho amalizie gharama za malipo yake!. au ANALOJIA za ubongo zinafungwa lini?analojia huyo...
ku'format ubongo ni issue sana aisee... asubiri kifo tu.Duh!, Kumbe mwisho wake ni KESHO KUTWA tu, basi apewe nafasi tena kesho amalizie gharama za malipo yake!. au ANALOJIA za ubongo zinafungwa lini?
Wengine kina zaidi yako na Matata?Mkuu tishio no. 1 wengine kwenye chama wanamuona muongo namba 1 tumuamini nani?
Mkuu Dr. Mwakabanje, hayo usemayo ni kweli. Mimi niliwahi kusema hivi, kuhusu baadhi ya viongozi wa Chadema katika uzi wangu huu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!Hayo ni machache tu, kwa machache hayo mimi nimeelewa kama mtu asiye timamu sijui wewe mwenzangu kama ndo meya huyo kweli ni wa kichina kama CHADEMA wanavyomwita huku, na pia CCM watatumia hiyo nafasi vilivyo kufanikisha mipango yao.
Wanabodi,
Nikiwa hapa Dom, nimebahatika kukutana baadhi ya wabunge wapya wa CCM na wa kambi ya upinzani, kujaribu kufahamiana, sio siri, baadhi yao hawana hata substance ya ni nini kilichowafanya washinde, na kwa viti maalum ndio usiseme kabisa!, wengi wao kama si makapi tuu, basi ni vidumu, basi ni kwa ajili ya kutoa huduma na kibinaadamu!, na hili litathibitishwa na michango yao kikao cha Januari.
Nilipoongea na baadhi ya wale makamanda waliokata magogo kanda ya ziwa, nimewaona ni wa kawaida tuu, hivyo nimefikia jibu moja la uhakika, kuwa CCM katika baadhi ya maeneo, imechokwa mpaka basi!, upinzani hata ungesimamisha jiwe, lingechaguliwa!, nadhani ni moja ya sababu kuu iliyopelekea wengi hawakujitokeza waliona kujitokeza kupiga kura ni kujisumbua tuu!.
Mkuu Dr. Mwakabanje, hayo usemayo ni kweli. Mimi niliwahi kusema hivi, kuhusu baadhi ya viongozi wa Chadema katika uzi wangu huu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!
Nilishauri Chadema wakitumie kipindi hiki kujitathmini kwamba baadhi ya hao waliochaguliwa, will they stand a chance in 2015?, ili wapange timu ya ushindi mapema kabla, na sio kusubiri mpaka kipenga cha mwisho kipulizwe, kuna uwezekano ikajikuta inayarudisha baadhi ya majimbo ambayo wananchi waliwapigia kura vagombea wa Chadema with very high expectations on them, wakilinganisha na kinachoendelea, wanakuwa disapointed na 2015 wanaweza wakaamua bora kuendelea na lile 'zimwi' likujualo.
Pasco.
Ndugu yangu Pasco, hayo nimeyapunguza mbona yaani ni vituko, unajua kilikuwa ni kipindi cha saa 1 si rahisi kuandika yote laiti ningeweza kupata audio ndugu ungeweka kuwa muziki wa kukuburudisha mwaka mpya!
Wear weraa CHADEMA, kamchicha ka kisiasa mlikokapanda mkifikiria ni mbuyu kanakwenda na upepo, maji yenyewe ya 2015 baado hayajafika!