Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani,

Unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?
 
Yan huu wivu aisee... Bro.. Wacha Wivu.. Watu na Passion za Kazi zao.. We kama huependi kazi yako kavunje mawe aisee..
 
Hiyo ndiyo identity yake... Anatangaza vizuri sana..
 
Acha ushamba kuna habari gani ambazo huzipati kwenye social media mpaka usubiri taarifa ya habari saa 2 usiku au na wewe umekuwa mtoto? badilika broo.
Naona hukutaka kuremba, ukaamua kumpa za uso!
 

Me mwenyewe ananikera aisee,,,ni mpuuzi
 
Yaani siku asipotangaza mi huwa sivutiwi kabisa na habari za michezo!

Acha ushamba wewe ile kitaalamu tunaita branding......ukisikia sauti tu unajua huyo ni hemed kivuyo

Au yule wa bukoba Geoooooorge marato wa itviiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…