Hembu Tujikumbushe!

Ukweli nimepata, niliyoyasikia sikudanganywa oooh.
Kumbe huko Gabon umeshaolewa na mtu mwingine.

Nasema nasikitika kwani ulichokifanya ni cha dhuluma ooh,

Wazimu si wazimu huku nimebaki nalia moyoni.

Sasa ufanye hima uwatumie barua wazazi wako oooh,

Warudishe mahari yangu ili niweze tafuta mchumba mwingine.

.....Nawaarifu ndugu zangu wote,

.....Harusi hii imevunjika jama


.....Niliyetaka kumuoa,
.....Amenikatalia bila kosa mwenzenu
 
ndallo una vituko wewe huu mtindo ulikua unaitwa kucheza robot ambapo baadae ulifuatiwa na mtindo ulioitwa mabreka mtu unajinyonganyonga hv kama yule jamaa wa kwa boney M

Je wewe ulikuwepo enzi hizi?
 

PJ hembu nikumbushe huu wimbo uliimbwa na bendi gani kaka? kwakua umenikuna sana maneno yake!
 
PJ hembu nikumbushe huu wimbo uliimbwa na bendi gani kaka? kwakua umenikuna sana maneno yake!
Mkuu,
Huyu ni Mbaraka Mwinshehe Mwaruka....hapo ni 70's! kiongozi.
 
ckuwepo ulitakaje? flashback au? kitenge ndio anayajua hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…