Help

P.R.O

Member
Jan 6, 2012
25
1
Hi JF members,.. Nahitaji msaada wenu....hv karibuni nimetoa bikra yangu ingawa cna uhakika if kweli imetoka kwani nilickia ikitoka damu hutoka pia bt mimi cjaona damu..mnavyoona bikra imetoka au? Na mpenzi wangu alipojaribu tena akiwa anaslide kwenda ndani zaidi kuna maumivu nayackia nakuwa cfurahii penzi kivile,.na la zaidi nikiwa nampa romance mpenzi wangu majimaji ya ukeni huwa hayatoki cjui y mpaka atumie mate yake ili niwe wet..jamani nahitaji elimu kutoka kwenu mwenye uelewa ktk hili kwani nahitaji kufurahia mapenzi na km girls wengine..ahsanteni!
 
mhh subir wataalam wanakuja kwa muda huu wapo lunch

Pole sana
 
hv karibuni nimetoa bikra yangu ingawa cna uhakika
imetoka kwani nilickia ikitoka damu hutoka pia bt mimi cjaona damu....

kwani hiyo bikra umejitoa mwenyewe?

.. la zaidi nikiwa nampa romance mpenzi wangu majimaji ya ukeni huwa hayatoki cjui y mpaka atumie mate yake ili niwe wet.....

umefanya mara ngapi, mbona unaonekana mzoefu tofauti na maswali yako?
 
kasichana si lazima damu itoke na kwa watu wengine siku ya kwanza maumivu hayawi makali kama utakaporudia mara ya pili especially kama utarudia kesho yake.

Ili maji maji yatoke kulubricate the area, jitahidi sana urelax put yourself in the mood kabla huyo mpenzi wako hajaanza kukuweka kwenye mood. usije ukakuta mnatafunana mahali ambapo hakuna faragha makelele mengi yaani unakuwa katika hali ya uoga hata kama mtu ni mzoefu hawezi kuenjoy kabisa.
 
Huyu sio mtoto wa puleimali kweli.
Kaswitie, una miaka mingapi?
 
Jamani, me nawashukuru kwa mawazo...me sio mtoto sema nimechelewa kuanza mapenzi na huwa naogopa sana kuuliza maswali yanayohusu usichana,nipo University.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wamekunaniliuuuuuu

kwa nini usingesubiri hadi ndo (mmmh loh)
 
Jamani, me nawashukuru kwa mawazo...me sio mtoto sema nimechelewa kuanza mapenzi na huwa naogopa sana kuuliza maswali yanayohusu usichana,nipo University.

Usifanye kama hujisikii! Usifanye ili kuwa kama wengine! Usifanye kwasababu BF wako anataka!

Kwa muda mcheze zaidi, na siku ukijisikia hiyo lublicant itatoka yenyewe; lkn ukijilazimisha plus mawasiwasi utadend up kuchubuka tu na kama hamtumii dawa ya penzi risk ya maambukizi inakuwa juu zaidi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom