Wadau na magwiji wa Jukwaa hili , salaam!
Kwa muda mrefu nakoseshwa raha na Cursor kwenye Laptop yangu! Sina uhakika ni jambo la kawaida kwa Laptop zote au ni kwangu tu! A year ago niliwahi kuleta hoja hii hapa hapa, but haikuwa na response. Nimeonelea niilete tena hoja hii.
In short, wakati nina-type, anytime without my concern, Cursor huwa ina-skip position iliyokuwapo na kwenda kabisa...sometime hata kwenye paragraph nyingine. Hii maana yake ni nini, natakiwa macho kutoyatoa kwenye screen hata sekunde moja wakati my experience in writing hainilazimishi kukodolea screen. Mbaya zaidi, inanilazimisha kuwa very slow in typing! Sina hakika kama nimeeleweka! Assume nilikuwa nataka ku-type neno "inanilazimisha kuandika." So unaweza kuta, ninapofikia kuandika "inanilazimisha kuan...." cursor inahama na kutoka kwenye "n" na say inarudi anywhere within the word inanilazimisha to the point kwamba, kama nitakuwa naendelea ku-type, neno INANILAZIMISHA halitaendelea tena kuwa hivyo na litakuwa ni neno lisilo na maana yoyote.
So guys, kama kuna namna yoyote naweza kutatua hili tatizo, please help!
UPDATES: PROBLEM SOLVED, So thread ipotezeeni. But for anyone having similar problem, below are procedure to fix the problem:
STEPS:
Start>>Control Panel>>Mouse>>Pointer Options
After Clicking Pointer Options Tab,
Uncheck: "Hide Pointer While Typing" check box
Click: Apply>>OK.