ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Pole sana ndugu yangu ndio maisha kuna kupata na kukosa vumilia ipo siku tu utapata
....hakuna dhiki wa dhiki baada ya dhiki faraja.
We mtoto, hulali?
Pole sana ndugu yangu ndio maisha kuna kupata na kukosa vumilia ipo siku tu utapata
....hakuna dhiki wa dhiki baada ya dhiki faraja.
Hhahaaahahaha wewe je unaota hapo?
Dah! Pole sana kuwa mvumilivu kwenye nyakati ngumu, yote ni mitihani ya maisha, no matter how you're sad and blue someone has worst than you, have a faith, there's a time for everything, niliwahi kuumwa karibu miaka 2 hakuna dr aliyegundua naumwa nn ila mzungu mvuta unga aliniambia tatizo linalonisumbua, tena hata simjui ila aliniomba nimtembeze Tokyo kwani alikuwa mwanajeshi wa marekani mgeni Japan, ktk kumtembeza nilianza kujisikia vibaya ghafla nikamwambia unajua naumwa karibu miaka 2 na nimeshakwenda hospital zote hapa Japan hakuna zaidi ya kuniambia inaweza kuwa mental illiness na aliweza za kunisaidia kwenda kutibiwa kwa specialist marekani nikapona mpaka Leo, bahati mbaya niliporudi Japan nilikuta amefukuzwa kazi lakini nilimtafuta nikampata kwao California na ameachana na madawa ya kulevya tumekuwa marafiki sana, zungumza na watu, you never know u might pick someone who's going to change your life completely! Never give up.
Pole mwaya, usichoke kutafuta maana kila kitu huja kwa wakati wake...... Huzuni ikizidi ujue furaha iko mbioni!!
Mshirikishe Mungu kwa kila jambo nae atakupa furaha ya kweli hata kama umepungukiwa.
Sasa ukijiua utakuwa umekamilisha malengo ya kuwepo duniani? You are never defeated unless you give up. Count your blessings banaa. Kuna watu hawana kazi na hawana afya njema. Pata picha huna hela, huna kodi afu unaumwa.
Usikate tamaa. Giza linapokolea zaidi ujue kunakaribia kukucha.
Mi mzee!
kwa nini ukate tamaa ya kuishi? Una afya njema, bado upo na japo kwa misukosuko, ishi kwa matumaini.
Pole sana mapito tu hayo
ilisha juniour pole sana endelea kutafuta kazi kwa ngivu zako zote mungu atakuaf