Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

Swala la hostel zipo nyingi sana kikubwa tuu ujiandae kodi coz kuna vyumba vipo vya laki nane na zaidi kwa mwaka ila gharama zinaongezeka zaidi once unapoishi karibu na chuo lakini kuna maeneo kama mwisho wa lami,mbwanga,kkkt,masawe mnadani huko utapata chumba cha bei rahisi lakini katika hostel za chuo ni vurugu sana na usalama mdogo
 
Jamani muwe makini humu wengine ni matapeli wapo kwa ajili ya kupiga pesa tu...
 
Mimi nimesoma mipango pale so kwa ushauri nichek 0764531080
 
Kuna mtu yupo mipango dodoma mwaka wa tatu...anatoa msaada wa kuwatafutia hostel,,,mcheki 0753238515
 
me udom but mipango ninamarafiki nnavojua mimi mipango wengi wanapanga rum self ni 50-70 No 0678049122 UNAWEZA NICHEK HAPO
hakuna room ya self ya 50 mipango labda udom na kama ipo utajuta kupanga... ni kuanzia 70... na kuendelea kuna Dubai village, kuna hollyhood, kuna za ndani ni priority kwa wadada na wakiume wenye matatizo mf. ugonjwa, ulemavu...
 
Tusaidie gharam zake mkuu
hizo alizo zitaja ni za chuo ambazo huwapangisha wanafunzi, gharama kwa hostel ya ndani ni lak3.5... hostel za nje ni lak3... kumbuka usafiri una jitegemea kufika chuo na hostel ya LAPF ni ya kupanda daladala kwenda na kurudi ita tegemea ratiba ya vipindi utakavyo kuwa navyo....

Maps au mapambazuko yenyewe ni kama umbali wa mitaa 200, sumaye ni zero mita maana ipo ndani ya chuo na chuo kina eneo dogo kama mita 150 au 200 kwa 150 au 200...
 
Swala la hostel zipo nyingi sana kikubwa tuu ujiandae kodi coz kuna vyumba vipo vya laki nane na zaidi kwa mwaka ila gharama zinaongezeka zaidi once unapoishi karibu na chuo lakini kuna maeneo kama mwisho wa lami,mbwanga,kkkt,masawe mnadani huko utapata chumba cha bei rahisi lakini katika hostel za chuo ni vurugu sana na usalama mdogo
kumbuka na ukiwa una ishi mbali na chuo unakuwa na usalama mdogo pia... na hasa kukiwa na watu wengi mno mlio panga kama peter f' huko mbwanga nk kuna vibaka na kadhalika... hivyo matatizo yapo mkuu chamsingi ni kujiandaa kuyakabili tu na kuyaelewa mapema... wakiwa wazoefu watajua jinsi ya kuishi

waswahili wanasema ujinga ni mara moja tu' wakati wa kwenda... wakati wa kurudi utaifahamu njia
 
Jamani muwe makini humu wengine ni matapeli wapo kwa ajili ya kupiga pesa tu...

yeah ni kweli utapeli wa mitandao upo tena sana... vijana waje watafute room... wasiogope kutafuta room ukiwa mbali na mtu usiye mfahamu na bei anaficha ni kupotezana na hasa tabia zinazo katazwa hapa jf ni za kwenda mafichoni au PM... ndipo wizi unapo anziaga huko...

kama uta wahi uwezi kukosa room ila ukichelewa kwa kigezo cha kuvuta siku kama upo sekondari na ni mgeni... wanaosoma ni wengi na wengine ni wenyeji tayari wana makazi huko kwa ajiri ya chuo ndio maana wapo makwao wanavuta siku
 
VP mkuu upo mipango now or Kama upo tafadhal tujuze knachoendelea huko asee
 
Mipango chuo changu. 2013.... Regional Development Planning
 
Hivi hao mipango si ndo nliskia walifukuzwa mahala flan kwenye intavyuu kwa kutotambulika au, madogo kabla hamjaenda jaribuni kucheki
 
Back
Top Bottom