mm nimefungua juzi,nenda brella utapata mahitaji yako yote ya maswali na majibu
kama umefungua juzi why dont u give an insight of the story....anyway..kwa uelewa wangu
...kuna kampuni za aina mbili..a limited and sole proprietorship companies..sasa inategemeana na ipi unayotaka kuanzisha...
Kwa ltd....taraibu ni sawa na ya sole ila tuu..unahitaji kuwa na memorandum of understanding/association kwakuwa utakuwa na more than 1 directors ambao watakuwea na liabilities kwenye kampuni...
Nenda brella submit 3 company name ..ili wafanye name search...ukipata jina tayari unapeleka memorandum 3 copies...wanaipitia then unapewa certificate of registration ya company....
Kisha unaenda tra unapata tin...kisha unaenda municipal husika unachukua business licence ...then unaenda bank kufungua account ya kampuni kwa taratibu na masharti ya bank husika...
Kama unafanya biashara inayodeal na vitu ambavyo vina-boards zinazogovern that business ...inafika wakati unahitaji pia ku-register na hizo boards ili uweze kupata registration ya board husika...say unataka kuuza madawa...inabidi pia upate kibali/registration ya tfda...kwa mama sigonda...etc
kuhusu ku-run 3 business kwa kampuni moja ni rahisi tu..maana ulivyokuwa unasubmitt brella ile memorandum uliandika objectives za kampuni ..kwa hiyo inakuwa ni rahisi kukata leseni ya biashara zote tatu na kuzifanya kwa jina moja na possible 1 bank account ila utakuwa na usajili tofauti kwa kila governing board......
Ni maoni tuu..na uelewa wangu binafsi
So sorry am in a bad situation cant advise at the moment,hope she understand,real sorry.
Dear members, naombeni msaada urgently. Mtu akitaka kuanzisha kampuni inayodeal na variety of things kama viwili vitau inakuwaje? Naikia inabidi iandikishwe wizara ya viwanda na biashara, lakini am not sure ndo maana nauliza. implication ya tax ikoje? Nataka kujua pprocess nzima, i will appreciate.
Who Cares? ...kuna kampuni za aina mbili..a LIMITED and SOLE proprietorship companies..sasa inategemeana na ipi unayotaka kuanzisha... kwa LTD....taraibu ni sawa na ya sole ila tuu..unahitaji kuwa na memorandum of understanding/association kwakuwa utakuwa na more than 1 directors ambao watakuwea na liabilities kwenye kampuni... nenda brella submit 3 company name ..ili wafanye name search...ukipata jina tayari unapeleka Memorandum 3 copies...wanaipitia then unapewa certificate of registration ya company.... kisha unaenda TRA unapata TIN...kisha unaenda municipal husika unachukua business licence ...then unaenda bank kufungua account ya kampuni kwa taratibu na masharti ya bank husika... kama unafanya biashara inayodeal na vitu ambavyo vina-boards zinazogovern that business ...inafika wakati unahitaji pia ku-register na hizo boards ili uweze kupata registration ya board husika...say unataka kuuza madawa...inabidi pia upate kibali/registration ya TFDA...kwa mama sigonda...etc kuhusu ku-run 3 business kwa kampuni moja ni rahisi tu..maana ulivyokuwa unasubmitt brella ile memorandum uliandika objectives za kampuni ..kwa hiyo inakuwa ni rahisi kukata leseni ya biashara zote tatu na kuzifanya kwa jina moja na possible 1 bank account ila utakuwa na usajili tofauti kwa kila governing board...... ni maoni tuu..na uelewa wangu binafsi[/QUOTE said:Nakubaliana na huyu nadhani fungua website soma maelezo yao yanajitosheleza, ukijua aina ya company, MoU etc, unawaendea sanasana watakusaidia kui shape tu vinginevyo utaenda na kupewa maelezo yaliyo kwenye website ukasome.
i understand dia, and hope you feel better.
what if ni biashara ya mtu mmoja, i mean labda niwe kidogo wazi ili nipate insight. Nataka kuanzisha biashara (peke yangu) ambayo inatahusisha mimi kudeal na kampuni mabalimbali nikimaanisha tender etc, lakini cha msingi ambacho kinanisukuma kuanzisha kampuni ni ili nipate account bank itakayoniwezesha kufanya transactions. Hii pia inahitaji MoU?Si mara zote ni lazima kuanzisha kampuni. Kama lengo ni kufanya biashara una weza pia kufanya kama mtu binafsi (sole propriatorship) au kwa kushirikiana na wengine (Partnership). ubaya wa kampuni, inakuwa na compliance requirements nyingi amabazo in some cases zinaweza kukudistract.
Kwa kusaidia kujibu swali lako. Cha kwanza ni kuisajiri (incorporation) hiyo kampuni BRELA (www.brela-tz.org). Katika hiyo process utatakiwa kuandaa Memorandum of Association (katiba inayoelezea umiliki na wamiliki wa kampuni, madhumuni ya kampuni na ukomo wa wajibu) na kama ukitaka Articles of Association (taratibu za kuendesha kampuni).
Baada ya hapo utatakiwa kuisajili kampuni kama kama mlipa kodi (TRA watakupa TIN). Na pia utatakiwa kuomba leseni (inaweza kuwa zaidi ya moja) kuendana na aina ya biashara kampuni itataka kufanya.
tHANKS WHOCARES, Lakini do i need an MoU kama ni SOLE proprietorship company? TRA TIN unalipia sh ngapi kwa business isiyozidi 5m?kama umefungua juzi why dont u give an insight of the story....anyway..kwa uelewa wangu
...kuna kampuni za aina mbili..a LIMITED and SOLE proprietorship companies..sasa inategemeana na ipi unayotaka kuanzisha...
kwa LTD....taraibu ni sawa na ya sole ila tuu..unahitaji kuwa na memorandum of understanding/association kwakuwa utakuwa na more than 1 directors ambao watakuwea na liabilities kwenye kampuni...
nenda brella submit 3 company name ..ili wafanye name search...ukipata jina tayari unapeleka Memorandum 3 copies...wanaipitia then unapewa certificate of registration ya company....
kisha unaenda TRA unapata TIN...kisha unaenda municipal husika unachukua business licence ...then unaenda bank kufungua account ya kampuni kwa taratibu na masharti ya bank husika...
kama unafanya biashara inayodeal na vitu ambavyo vina-boards zinazogovern that business ...inafika wakati unahitaji pia ku-register na hizo boards ili uweze kupata registration ya board husika...say unataka kuuza madawa...inabidi pia upate kibali/registration ya TFDA...kwa mama sigonda...etc
kuhusu ku-run 3 business kwa kampuni moja ni rahisi tu..maana ulivyokuwa unasubmitt brella ile memorandum uliandika objectives za kampuni ..kwa hiyo inakuwa ni rahisi kukata leseni ya biashara zote tatu na kuzifanya kwa jina moja na possible 1 bank account ila utakuwa na usajili tofauti kwa kila governing board......
ni maoni tuu..na uelewa wangu binafsi
ok. Inategemea
kama nataka kufungua company inabbidi uandae memorandum and articles of association. Kabla ya kufanya hivyo inakubidi ufanyie kitu kinachoitwa search of company name. Hapa unaandika barua kwa mkurugenzi wa brella ukimention majina ambayo unataka kuipa kampuni yako. Hii inasaidia kwenye kuaandaa memorandum of association ili jina la kampuni yako lisije likafanana na la mtu mwingine ambaye ameshafungua kwa jina hilo. Hii inachukua only three working days kupata jibu. Thereafter unaendelea na process za kuandaa memeorandu,ukishamaliza unazipeleka pale brella (jengo la ushirika) ghorofa ya tatu. Pale wataangalia ukubwa wa memorandum kwani wanachaji kwa kile page mara copy ulizo nazo plus registration fee. Hapa watakupa form ambazo utajaza your personal details and of the like then zinabecertified na mwanasheria. Hapo ukimaliza unazirudisha brella wao watazipitia, hapo hakuna specific time yakusubiri but normally kuanzia wk 1. Thereafter kama kutakuwa hamna marekebisho kwenye memorandum then wanakupa certificate of incoorporation. Nadhani nimeeleweka.