Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 371
Heaven on earth huyo binti alisha msoma huyo jamaa na akajua udhaifu wake ndio maana ame comfess akijua ata samehewa, na hata mleta mada alisha msamehe muda mrefu hapa ana hitaji go a head tuu.
No wonder hili swala la kujiua limewekwa hili kushinikiza maamuzi yake tuu.
mwambie ajiue tu...anakutest imani yako huyo....
Ntashangaa sana ukimsamehe.
Unatakiwa ujue kuwa hukuzaliwa nae huyo mme kutana duniani bahati mbaya tuu, hivyo unatakiwa kuchukua maamuzi magumu hasa mtu anapo kiri kukisaliti makusudi.
Tatizo lako unafikiri uwezi kuishi bila yeye na anajua hilo ndio maana ame kusaliti na amekuja kukwambia na mkwara juu wa kujiua.
Na kuhakikishia ukimwambia unamuacha ataanza kukubembeleza badala ya kujiua kama alivyo sema.
Usikubali kupumbazwa na maneno na vitisho vya kujiua muache aende.
Usiogope kuumia muache na usipofanya hivyo ataendelea kukusaliti huku akijua huto muacha maana unajua atajiua.
sijaelewa ulichosema...kama anampenda sana na yupo tayari mpaka kufa asingecheat on the first place...huyu mwanaume anafanywa zoba!!Jamaniiii usiseme hivyo bhathiii wenzio ze ufoo saro saga hayajatutoka bado ivo
sijaelewa ulichosema...kama anampenda sana na yupo tayari mpaka kufa asingecheat on the first place...huyu mwanaume anafanywa zoba!!
Kutokana na hapo kwenye bold jiulize:-HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?
You are welcome!!una msimamo mkali! ungekuwa wifi yake angeipata fresh. lol
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?
Hivi inakuwaje unalalwa na mwanaume huko halafu unaenda kufanya Confession
si angeenda hata kwa baba Paroko kuconfess.......maana unaweza dhani utasamehewa
kumbe wajipalia mkaa..kuwa cheated inaumiza sana hasa kwa mtu unaempend kwa dhati...
the worst feeling ever
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?