Help me tafadhali...

Tatizo sie wa bongo huwa hatupendi ukweli kabisa, tunataka sana kujifanya watasha, hatupendi kuishi maisha yetu kabisa! We always want to live artificial lives, me I hate this!! If I can just you guy a qn, what do you understand the so called ''Ndoa''? Najua utajikanyaga kanyaga tu bila kunipa ukweli of halisi wa NDOA!!

Eti unasema, kumzalisha unampunguzia heshima? mimi sikuelewi kabisa, ndo maana nakwambia uko too artificial!! Understand kwamba, mtoto uliye zaa siyo wa kwako peke yako, kila mmoja hufurahia ujio wake, lakini mlio wengi husemi mtoto wa mwanaume! This is totally wrong!!

Halafu kijana unaonekana huishi na mwanamke. For ur info, mkeo unayeishi naye hawezi hata siku moja kuwa chombo cha starehe kama unavyo fikiria......! Hiyo starehe unayosema, ni kasehemu kadogo sana kny maisha ya wiwili!!

Try 2 b real men!! Hivyo ndivyo waswahili tulivyo!!

Nikujibu kifupi kuwa nipo ndani ya ndoa kwa miaka mingi kidogo na nshaoza mjukuu wangu wa kwanza wa kike tayari. Nina experience ya watoto walioolewa na waliozaa tu na mmoja wao hadi sasa yupo homu, katelekezwa na baby kachukuliwa na kijana kaoa mke mwingine. Sikubishii hayo mawazo yako ya kuwa waswahili ndivyo mlivyo. Naomba usubiri huyo mwanao akue ( kama ni wa kike) halafu utasema kama ushauri wako wa kuwa realistic bado upo pale pale au umebadirika. Au fikiria wale dada zako ( kama unao kule nyumbani kwenu,Je wakiomba ushauri kama wa dada Jn majibu yako yatabaki haya haya.) Nazidi kusisitiza naheshimu sana mawazo yako.
 
kama mwanamke anaruhusiwa kutoa mahali... basi mimi ningeenda kutoa! Lakini hizi mila zetu za ajabu hazitaniruhusu.

sasa utatoa mahari kwa mwanamme ambaye hata hataki swala la ndoa lizungumzwe ndugu yangu. You still have time my dear, be patient. sidhani kama huyo ndio mume mungu alokupangia, wa kwako yuko somewhere ila sema una haraka mno, mbona bado hujachelewa..
 
JN
kila kichwa hapa kina ushauri kuntu ila cha msingi soma mazingira uliyonayo kwanza kisha angalia how best you can do to overcome. Kama ameshawahi kukutambulisha kwao basi ujue unaweza kutumia upenyo huo kumshauri/wishi afanye jambo la kukufurahisha, kama mapenzi ni ya uchochoroni angalia usije ukawa umevaba mjamaa mwenye ndoa yake maana siku hizi neno uongo limekuwa vazi la kila siku. Na pia kama mna malengo fulani ambayo mmeyapanga angalia time-frame na kusisitizia heshima ya ufanikishaji. Ukiona ahadi ni debe zima halafu hakuna hata moja inayotekelezwa ujue huyo jamaa ni mwanasiasa ktk mapenzi. Endapo mwanzo wa mapenzi yenu alitoa ahadi ya kukuoa basi ujue mko wnegi mlioahidiwa (just guessing). Ila cha msingi sikiliza moyo wako unakuambiaje na jaribu kuutawala mwili.

Usikubali kudanganywa wala kuchezewa utu wako. Endapo jamaa alishatafuna tundi. baaaas umelikoroga maana hata ingekuwa mie inahitaji ujasiri kuahidi kununua kiatu halafu ukakijaribisha mwezi mzima kisha urudi dukani kulipia ingawa chance ya kukirudisha ipo. (mwenye hekima afahamu)

Pia kama ukiweza jaribu kumshirikisha mtu mzima unayemhishimu nadhani atakusaidia kukupa hekima ya kuapply ktk hii ishu.

Mwisho nakuasa mwali wangu kuwa suala la mapenzi usilichukulie kimzaha maana naona kuna baadhi ya comments humu ndani zinaelekea huko (ohooo msinishambulie waungwana).
 
Mwanangu,

Kwanza kabisa ningependa uelewe kuwa kuwa kufanya urafiki na mwamume ambaye hujui msimamo wake kwako si busara. Na hata kama unampenda vipi akishaanza kuyumba kwenye maamuzi kama hayo jua kuwa hata kama atakubali basi uendako ni kugumu. Kama walivyokushauri wengine nami nasema achana naye. Utampata tu akupendae kwa dhati ya moyo wake na atakaye mapenzi yenye kudumu na si mchezo tu.

Hata hivyo inabidi uwe mwangalifu sana kwa kuwa kuna wadanganyifu wanaweza kukujia na gia ya kuoa. Usisite kuonyesha hisia zako na hasa kama mtu humfahamu vizuri. Kwa kuwa ndoa ni jambo la kifamilia usisite kuwashirikisha wakubwa wako.
 
Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.

Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.

Mungu awabariki.

Mbona hukuwajulisha wadau walio kushauri....ukaenda kulikoroga zaidi?

Mods...please unganisha hizi thread mbili za jn!
 
Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.

Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.

Mungu awabariki.
Kwa hiyo umekukubali ushauri wangu na utanitafuta eeeh!!
thats good and brave
 
Kama anakupenda kwa dhati basi nadhani ana sababu ya msingi ya kusema msubiri. Ndoa sio mchezo inahitaji uvumilivu wa hali ya juu halafu isitoshe kuwa naye kwa kipindi cha miaka miwili usione kama ni mingi ni michache sana katika kufanya maamuzi kama hayo. Mimi ushauri wangu ni kwamba vumilia kuwa na subira nina imani kama mnapendana kwa dhati basi ndoto yako itakamilika siku moja. Maisha ni uvumilivu kama utashindwa kuvumilia hili sidhani kama utaweza vumilia ndoa yenyewe.
 
Ahsanteni wote kwa maoni yenu. Kuna maoni mbali mbali na kwa kweli mengine mpaka yamenichanganya! Lakini sio mbaya, nimefurahi sana kupata mawazo mengi kwenu.

Naona tuishie hapa kwa sasa. Nitawajulisha kitakachoendelea.

Mungu awabariki.

Usikimbilie kufunga thead bibiye, labda yu aja nabii kukuokoa na haya uyafanyayo. Uamuzi wako ni nini baada ya kusoma maoni ya wadau. Kuomba msamaha? Ama kuendelea na huyu mpya ambaye hataki kuweka bayana msimamo wake? Hata hivyo nakushauri kwa sasa ungekaa bench kidogo ujitafakari ulikoanzia na unakoelekea. Kama ulikuwa na tabia ya ONJA ONJA ni wakati muafaka wa kujitambua. Naamini kwa staili yako hii umeshawapitia wengi. Sasa amua ni nani umtakaye na sio kila baada ya miezi 6 unabadilisha! Utakujaondoka na ngoma hivi hivi.
 
siko tayari kutafuta mtu mwingine manake wanaume wa kibongo kwa kweli they are just impossible. better the devil i know.... i just need to learn the skills of being mvumilivu.

Trust me hapo hakuna ndoa kabisaaa....unapoteza muda wako tu. Mi nakwambia nimepata demu hata miezi sita haijafika lakini akiwa tayari hata kesho ntamuoa. Nampenda kuliko maelezo, lakini ukweli hapo nyuma nilishawapiga sana watoto wakike kalenda tena mmoja nilikaa nae zaidi ya miaka 4 mzee nakula gud time wait for the right one.

Kama kweli jamaa kakolea hana sababu ya kukuzingua. Mi navyokwambia huyo mtoto hata kumuonja bado lakini ndo nimefika hapo. Yaani tabia zake zimenitosha kumkabidhi jukumu la kuwa mama wa watoto wangu na kila kitu, ni mpole, msikizivu, mvumilivu, hajawahi hata siku moja kukasirika pamoja na kumweka wazi kuhusu maisha yangu ya hapo nyuma na kuna siku niliwahi kumwomba anipe muda ili nimalizie vimeo vyangu vichache. Na yuko bomba si kitoto, pia mtoto ndo kwanza nafungua njia.

Habari ndo hiyo, we kula gud time ila acha nafasi wazi...u never know.
 
e bana ehh!
Ndiyo matokeo ya lile tangazo lako la kusaka mtoto wa kitanga?
 
Fiksiman is very serious in fiksing..................
 
Naona mtoa mada kaamua kukimbia..lol

MODS nafikiri inabidi mtoe adhabu kali kwa yeyote, kama alivyofanya huyu mdada. Anaonekana si mstaarabu. Ikumbukwe kuwa mtu anapoanzisha thread watu wanawekeza muda kuchangia na kusoma michango ya wengine. Wafaidika si tu anakuwa muanzisha thread bali kila mwana jamvi. Hivyo si vyema muanzisha mada kwenda kufuta post # 1. Huku ni kulidhalilisha jamvi na wanajamvi kwa ujumla, wachangiaji kwa wasomaji.

Kama muanzisha thread alitaka kuwa discreet angeweza kufanya hivyo bila ya kuathiri mwenendo wa thread.

my 2 cents..
 
sure, hili nalo neno
 
...nakweli!... jana nilipitia haraka haraka nikaona jn ka-delete some posts, but didnt take much notice alikuwa ana delete kwa bahati mbaya ama makusudi...

jn, tafadhali lipe jukwaa heshima yake. BTW, 'jn' you are anonymous, iweje unakimbia kivuli chako? Truth hurts, weka tu yanayokusibu watu wakushauri au wakukosoe hapa.

kama huna kifua, bakia msomaji tu!
 
Mie niliwaambia hicho kicheche mkaniona namtusi........
 
Kwa kweli Jn suala la kuoana linahitaji zaidi ya kufahamiana kwa miaka miwili.Hivyo ipo siku muda ukifika atakuwa tayari cha kukushauri usimlazimishe kwa kuwa anaweza kuja fikiria kwamba hata unavyomwambia kuwa unampenda wakati kila kukicha unakazania topic ya ndoa ataona kuwa ukitakacho kwake ni ndoa na ci hayo mapenzi unayomuimbia kila siku.
hivyo kama walivyotangulia wenzangu kukushauri usiwe mwingi wa neno tutaoana lini kwani unaweza mukera mpaka akaamua kukumwaga.
kingine uamuzi wa kusema umtafute mwingine akija kukuuliza uliyekuwa naye mlitofautiana nini mpaka ukamwacha/au mkaachana uatmwambia kuwa hakutaka kunioa wakati mimi/wewe uko tayari ukaona hakuwa na nia njema na wewe?au utamjibuje?
 
Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.

I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza kuongea kuhusu kufunga ndoa ananiambia hajaamua. what does this mean? does it mean hayuko tayari au hajaamua kuniona mimi? mimi naona kama ananichezea tu. najua ananipenda lakini naona hataki kuniona kwa sababu fulani. i wish i had the enough courage to leave him ili nitafute mtu mwingine who wants the same thing as me.

nawaomba mnisaidie jamani, yani roho inauma kweli manake nampenda kweli huyu jamaa. sijui nifanyeje.
Vip kuhusu kufahamu ndugu zake kama dada na kakas alishakuonyesha? Still miaka miwili sio mingi sana kiasi kwamba ulilie kuolewa my dear! Others inachukua hadi 5 years katika relation but that it's not a issue! Jaribu kumweleza hili na unavyojisikia, jaribu kumwelewa mwenzako why he don't want to marry you at this time? the kuwa mvumilivu may be anapima uvumilivu wako katika mambo yanayohusu maisha yenu! Ukiwa na papara you'll miss that chase of being with a good husband! Usikimbilie kuwa ana kuchezea kama ingekuwa nia yake ni hiyo angekutema zamani hata hiyo miaka miwili usingefika!
Take care don't force it mpe muda still yet kuna watu wanataka chance uliyokuwa nayo wewe lakini hawaipati au kuna mtu ameshakudanganya sema? And remember One mistake two goals! :rolleyes:
 
Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.

I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza kuongea kuhusu kufunga ndoa ananiambia hajaamua. what does this mean? does it mean hayuko tayari au hajaamua kuniona mimi? mimi naona kama ananichezea tu. najua ananipenda lakini naona hataki kuniona kwa sababu fulani. i wish i had the enough courage to leave him ili nitafute mtu mwingine who wants the same thing as me.

nawaomba mnisaidie jamani, yani roho inauma kweli manake nampenda kweli huyu jamaa. sijui nifanyeje.
Ndugu yangu jn, kuna baadhi ya wanaume wanapenda kuwachezea tu wadada. Hivyo kuwa makini na huyo jamaa, usimvulie nguo huyo hadi akuoe. Kama hataki kukuoa basi huyo mchezeaji, na hii tabia ipo sana kwa vijana wa kileo wengine wanakuja na gia nitakuoa kumbe anataka mchezo tu, usipokuwa makini kila mtu atakudokoa. Hivyo kuwa makini naye, na ww usimlazimishe akuoe. Ukiona hana mwelekeo na ww, amua kumuacha tu maana hakuna kupotezeana muda.
 
jamani huyu jn last week if am not mistaken alikuja na thread nyingine ya kuomba apewe ushauri kuwa alikuwa na wanaume wawili,na akaamua kumtema mchumba wake wakati process zikiwa zinaendelea?na akaeleza mengi tu kuwa anampenda huyo ambae hata hana mpango wa kumwoa? Nahisi kuna kitu hakiko sawa kwa huyu dada,sidhani kama anahitaji ushauri wa wana JF.
 
Back
Top Bottom