tupo tofauti, mimi nimeyafanya niliyoyafanya.. nini ushauri wako?
ushauri wangu : get a life and stop bothering with iddiots who have a lot of time to play around with their stinky silly cheap free call packages!:hat:
Yaani wewe unakuja kutuuliza aliyekupigia ni jinsia gani
Una hatari sana wewe!
Achana nae
Inawezekana hiyo line haikuwa inatumika kwa muda mrefu sana badala yake kampuni husika wakaiondoa kwenye system, walipoipa uhai kwa mara nyingine tena kwa mteja mpya (ambae ni wewe) huyo binti inaelekea katika phonebook/contact zake namba hakuifuta, labda ilikuwa kama bahati siku anayomtafuta mwenye namba ya awali na wewe ndio siku uliyochukua uliyoweka line mpya