Help: I cant wash his underwear

aaah
nguo za ndani fua,ila viatu abrash mwenyewe bana..au ajirini house boy awe anawasaidia
 
Daudi1...sawa tumemsikia husninyo
ila ishu km ya kumpigia shoe polish nayo mme anasubir had wife afanye jmn loooh...
Mloolewa ndo mambo hayo??

mi nafua sana, sbb najua nisipofanya hivyo atatembea ananuka (yeye hata akifua hatakatishi). lakini pia na yeye anajua mimi ni mvivu wa kunyoosha na kungarisha viatu, na nilishamwambia sipendi kupiga pasi. so kama hakuna mtu wa kunyoosha (extended family) huwa ananyoosha yeye maana anaamini mi siwezi kunyoosha vizuri. akipiga kiwi nami namsogezea viatu vyangu kama nivya kiwi.

maisha ya ndoa ni pamoja na kujuana mapungufu yenu na kusaidiana accordingly, si mmoja kuwa mfanyakazi wa mwenzake.
 
Ukitaka mume akupende, fanya mambo haya ambayo uyu anaona mazigo.. nakwambia na yeye from no where atakufulia one day iyo nanihii .... sometime doing things for others make them think of us too. usiwe na shingo ngumu dada, itavunja na wala hutapata dawa.. kufua boxer sio utumwa.. hata kunyosha nguo... ? rudi home basi ukanyoshe zako tuu..
 
Aaaaah... ! Mbona umemwambia tena?! Mwache aone mziki wake. Analeta usista do kwenye ndoa? Kama mumewe anabanwa na kz, ni sahihi kufanya hayo. Ila kwa upande mwingine isiwe kila siku. Jamaa akienda kuoga si afue kufuli mwenyewe?

na kweli siku mojamoja afue mwenyewe mbona akiwa bachelor anafua bwana
 
venine umeongea point,mtu asimfanye mwenzie kwa kumshurutisha yani,
si ajabu wkt wako wachumba hakumzoesha sasa out of nowhere anataka changes saivi,hehe ange'wonder ingekua mimi,
..inakera mtu anavo'DEMAND,af ukute na matunzo hatoii,khah,btw aliishije kwani kabla hawajaoana,mbna wanaume wana makusudi hvo,af changanya na hapo mwanamke na wewe unakuwa sooo busy na kazi za ofisini KAMA YEYE,..
 
Last edited by a moderator:
kipi ni kazi ngumu "sex or washing underwear" mnhh kama kunyonga kitandani unaweza kufua chupi ni kazi ndogo mi mke wangu huwa anadai chupi zangu kila siku yani cwezi kuvaa chupi siku nzima bila kufuliwa we nini kimekupata mpaka ushindwe au unaona kinyaa but mbona unashikaga gegedo lake?
 
itahwa mkopo bila riba umepata?
 
Last edited by a moderator:
Dada unajua mwanaume ni kichwa cha nyumba nnachokiona mimi mnatunishiana misuli sasa we mkubalie kwanza then taratibu utaanza kumwambia kwa imani ya kikristo imeandokwa enyi wanawake watiini waume zenu. Kasome mithali 31:11 na kuendelea
 
jaman we mwanamke mbona unatutia aibu hayo ni mambo madogo tu yanakushindaje kufanya?
 

Ndio maana hujaolewa.
 
Ndio maana hujaolewa.

heheh,kwendraaa..ntolee nuksi babu wee...KWANI NIMEKUOMBA UNIOE?? mtoa mada kaolewa au hajaolewa?
OVER EXPECTATIONS kwenye ndoa zinawamaliza...kwani mkeo punda???she is very human
 
heheh,kwendraaa..ntolee nuksi babu wee...KWANI NIMEKUOMBA UNIOE?? mtoa mada kaolewa au hajaolewa?
OVER EXPECTATIONS kwenye ndoa zinawamaliza...kwani mkeo punda???she is very human

Kama hiwezi kufanya issue ndogo km hizo nakwambia utabaki nung'a embe....hovyoo
 

kwenye issue ya mshahara wa mke kuchangia budget ya ndani kuna ugumu
 
ni mambo ya utumwa kumfulia mtu chupi, soksi au kumbrashia viatu. akiwa anaumwa sawa!
 
wewe nawe, kuosha hiyo pichu yake tu huwezi, je kumkatikia kitandani utaweza kweli?

Hahaha hahahahahaha umenichekeshaje! ...muwe munatoa 'kichin party' kwa wadogo zenu tusijekimbiwa...makubwa haya jamani, nayo pia ya kuomba msaada/ nasaha JF si nikujifedhehesha pamoja na hao walez wako?...kumbe mwenzetu uliwaza utakuta ile nanihii peke yake? Pole we ndo kuolewa huko.
 

Utaachwa bi dada,kufua his underwear we unaona kazi??loh!!ngoja waje wa kukusaidia hizo shughuli ndo akili itakaa mahala pake....MAJANGEST!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…