Majanga haya ngoja ampelekee kidumu akusaidie
Wakati mwingine naona wanawake wako kama watumwa vile... dume lifanyiwe kila kitu, kila kitu...
umpikie, umfulie, umpasie nguo, umuandalie ipi avae, soksi na boksa ziwe safi, utandike kitanda na bado kila iitwapo usiku ulale bila pichu...
mwisho wa mwezi mnagawana majukumu 50/50...
Its not fair kwa wanawake, lol.
Kha we nawe uliolewa wa nini? Rudi kwenu!
Kwa hiyo kazi ya mke ni kufua na kubrush viatu? Aiseee
that why i was thinking to love u ....
Nimeenda nimetoa rambirambi tu nimerudi, tunasubiri taratibu za mazishi ndugu yangu
Hope nami umenitolea eeeeeeeehhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Subiri apate mwanamke amfanyie vyote ivo na mbwembwe kibao uone kitachotokezea...kaa na uzungu sijui ustaarabu wako usije kulia tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[/QUOTE
Anajifanyaa tu hapa sasa sijui anataka nan afue boxer za mmewe wakati raha anaipataa yeyee,labda Farkhina umsaidiee