Help from c++ to visual basic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help from c++ to visual basic

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IrDA, Oct 20, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Nimejifunza C++ na kwa kiasi kikubwa nimefanikiwa kui-master,lakini natakiwa pia kujifunza visual basic.Wakuu naombeni msaada wa tutorial au mwongozo wowote ambao utaniwezesha kuelewa Visual Basic.

   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kama umefanikiwa kuimaster c++ naomba nikupongeze kwan hyo ndo inaaminika kuwa powerful na difficult language to learn. kinachofata hapo ni kuelewa syntax ya vbasic ambayo ni rahis na human friendly. nenda website ya microsoft ile msdn library www.msdn.microsoft.com hapo kuna mifano mingi na community ya developers kibao ambao wapo kutoa msaada na kuna article nyingi sana, pia usisahau kuchukua copy yako ya visual studio 10 au 2012
   
 3. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Shukrani mkuu
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu, mie pia nataka kujifunza programming, but sijui nianzie wapi..msaada tafadhali
   
Loading...