Heloo wana jamii

Omarwa

New Member
Sep 20, 2011
1
0
Jamani mimi ni mwana jami mwenzenu
Nimevutiwa na jukwa hili ndo maana nimeamuwa kujiunga
Ni pokeeni

Ila naomba kuwauliza Watanzania wenzangu: Hivi TANESCO ni shirika la kusambaza umeme
Nchini au Ni shirika la kusambaza giza Nchini maana hawaeleki na huu mgao wao kila siku??????
 
Karibu mkuu ila unaonekana una hasira manake umeingia na kuanza malalamiko.
 
Karibu kijana na itakuwa ni furaha kama umeamua kwa mapenz yako kuja huku,ıla kama umeshınıkızwa kuja huku utapaona pachungu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom