Helo "Great thinkers" naombeni msaada kwenu

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Binafsi naamin hakuna linaloshindikana kama utakuwa na tabia ya kuwashirikisha wenzio mambo yanayokutatiza. Naombeni ushauri nifanyaje ili kumuacha mpenzi wangu bila kuumiza moyo wangu, wala kusongwa na mawazo. Ninampenz wangu nampenda sana lakini ananitesa sana.. Kila nikitaka kumuacha nashindwa pliz msaada wenu ni muhimu kwangu
 
Duuuh pole, mimi naona kama umwambie kama unapiga kbuti, ikiwa bado king'ang'anizi mfanyie kweli, delete all his contacts or change your contacts, kama umekodi chumba hama ili umpoteze address.
 
Kama anakutesa sana huenda hakupendi.., kwanini unashindwa kumuacha je ni sababu ya kumpenda ?, Inabidi upime mateso unayopata ukiwa nae na moyo kuumia usipokuwa nae..

Lakini kumbuka time is the best healer, kama hauna furaha the sooner unamuacha the better sababu baada ya muda utapata mwingine na huenda ukamsahau.
 
Duuuh pole, mimi naona kama umwambie kama unapiga kbuti, ikiwa bado king'ang'anizi mfanyie kweli, delete all his contacts or change your contacts, kama umekodi chumba hama ili umpoteze address.

qn1.atabadisha no. ngapi?
qn2. msaidie kodi ya kupanga katika makazi mapya?
njb nitarudi plz
 
Naombeni ushauri nifanyaje ili kumuacha mpenzi wangu bila kuumiza moyo wangu, wala kusongwa na mawazo. Ninampenz wangu nampenda sana lakini ananitesa sana.. Kila nikitaka kumuacha nashindwa pliz msaada wenu ni muhimu kwangu
Kumbuka pia maamuzi magumu huwa sio rahisi.., ingekuwa rahisi yasingekuwa maamuzi magumu, sometimes tunafanya mambo sio sababu tunapenda bali ndio uamuzi wa busara..
 
unapiga moyo konde, maumivu hayaepukiki ila maumivu ya kuacha sio makali kama ya kuachwa....hivyo piga moyo konde uchape lapa, maana kama anakutesa hakupendi huyo.....
 
Mkuu hujaeleweka,unamuacha kwa tatizo gani? Hujawahi sikia mtu anafunga ndoa lakini ana mahusiano na mtu mwingine,wanakualiana kimyakimya kuendeleza mahusiano. Uje na sababu angalau watu wawe na upeo mpana wa kutoa maoni na ushauri,rudi kujibu hoja!
 
Hakuna njia rahisi ya kumuacha mtu wala hakuna maneno utakayomuambia asiumie moyoni mwake hususan kama bado ana mapenzi kwako...mwambie tu ukweli kuwa unaona bora kila mtu ashike njia yake kuliko kuendelea kuwa wote na kwa sababu gani. time is the best healer in these things...kila la kheri
 
Ujinga mzigo sasa anakutesa.. Unampenda? .. Unataka kumwacha anayekutesa ili asiumie moyo.. Kha sasa hapo umechanganyachanganya maneno kiasi kwamba hujui kipi unawaza kutushirikisha tushauri.. Wewe lini Mtu anayekutesa(Adui) ukimwacha ajutie ??!!.. Acha kuchanganya maada..
 
unafanya trial-and-error kwenye mapenzi eeeh.... subiri ifike zamu yako ya kupigwa kibuti ndiyo utaelewa vizuri implication ya hiyo hatua unayotaka kuchukua
 
kafanyeje kwanza?

Kuna wengine wanafukuza hata mahausi gelo kisa wanaiba nyama jikoni huku suluhisho ni kuongeza portion tu hadi atakapoacha mwenyewe.
 
Katika hili hakuna ushuri wala mshauri mzuri wa nini ufnye bt the best one ni MOYO wako upenafasi ya kuamua,usikilize ni nini moyo wako unakuambia ufanye ndilo ufanye na si m2 mwingine yeyote.Kumbuka ninani alikushauri umpende na ninani ktk wachangiaji anaye feel ur pain&will share ur lonelness.
 
Katika hili hakuna ushuri wala mshauri mzuri wa nini ufnye bt the best one ni MOYO wako upenafasi ya kuamua,usikilize ni nini moyo wako unakuambia ufanye ndilo ufanye na si m2 mwingine yeyote.Kumbuka ninani alikushauri umpende na ninani ktk wachangiaji anaye feel ur pain&will share ur lonelness.

safi mzee wa upako
 
Kweli twambie jinsi anavyokutesa kwanza ndo tukushauri vizuri. Usikute unayoona mateso kwa upande wako ni sehemu ya mapenzi kwa upande wake!
 
Kama kweli unampenda ukimuacha lazima uumie japo kidogo! But kama ndo uamuzi wako wa mwisho piga moyo konde mwambie kua umeshindwa kuendelea nae then mpe sababu,kifuatacho kata mawasiliano nae kabisa,litle by litle utamsahau..
Kila la kheri
 
Duuuh pole, mimi naona kama umwambie kama unapiga kbuti, ikiwa bado king'ang'anizi mfanyie kweli, delete all his contacts or change your contacts, kama umekodi chumba hama ili umpoteze address.

Hapana kufanya hivyo siyo vizuri inatakiwa wake umweleze tabia zake zote alizozifanya na umweleze njia zote ulizojaribu kumrekebisha ikashindikana na umweleze umechoka umeamua kuendelea na maisha yako mengine, umweleze mpaka aone kosa lake asione unamuonea, umuache kwa amani na umtakie maisha mema hiyo itamsaidia huko anakoenda atajifunza hatarudia makosa aliyoyafanya kwa mwingine atakayempata.
 
Back
Top Bottom