Hellow!

Ni raha sana! Nainjoi sana life na my wife wangu marejesho! Full tabasamu!
 
Last edited by a moderator:
Nawasikitikia wale wasio oa, tuna mtoto anaingia form II mwingine la sita na mwingine wa mwisho la pili. Kweli ni raha tupu. Kama hukumwomba Mungu wakati wa kuoa hapo utapata taabu. Lakini ukifuata masharti mbona raha? usiku tunauona mfupi kuliko mchana kwani tunapendana, ninamsuka mke wangu kabkla ya kulala kusudi nyere zake zisimsumbue wakati wa kujiandaa kwenda kazini. We acha tu!utadhani nimemuoa jana!!
 

Mmmmhhhhh haya mazee.
 

Duh hivi wewe ni ndugu yake na my hezbend C6 nini¿¿ make hivyo ndivyo anavyonifanyiaga mie¡¡¡¡¡
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…