Ndugu zangu hamjambo? nimepiga hodi naomba kukaribishwa, ninaitwa Da Mariam nimekuwa nikisoma sana posts za wanaJF, nimeona ni vizuri zaidi nikiwa mwanachama ili kama kuna dhana idea yoyote ya maendeleo ambayo ninaweza kuchangia nijumuike nanyi tuchangie. Thank you very much
DaPilly