Hellow wana cc

Swala la ukaguzi sio ombi! Ni utaratibu ambao ni wa lazima! Kwahiyo njoo to my way then I'll do the needful to you!

CC: Asprin, Bishanga, Baba V

k!!! ngoja nije but make sure huna presha wala kisukari........... maana haka ka beuty na visapoting document lazima ushtuke!!!!!!!"
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Good girl! Embe nicheki kwa pm nikupe maelekezo!
cc😡Asprin

oooh!!! wakati nataka niku pm nimejishika usoni vibaya mawani yangu yameanguka yamevunjika sioni jaman mie!!!!!!!..........
 
Wewe unaonekana mimba ya Paloma inakuchanganya! Mapenzi yetu na wife wangu marejesho wala hayahitahi kubusti!
sosoliso hali yangu taabani na ndio maana nimepunguza muda wa kuingia jukwaani... Kama utakumbuka vizuri 28th Dec 2012 tulienda Tanga na mume wangu Filipo hakucheza mbali akafanya kweli.. Sasa niko kwenye dakika za majeruhi... any time nitawaletea Filipo junior......... Mume wangu yuko bega kwa bega na mimi , tunaomba mtuombee tumalize hii safari salama..... cc Arushaone na wengine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…