The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
mtumishi maombi yalienda vema na finest alikuwepo sambamba na agano jipya yake,,,usiwe unakaa sana mlimani waumini wamenizidi
Niaje chaliii yangu nawasalimia kwa jina la baba na la mwana na la.......Naomba nisalimie wafuatao Derimto, hmethod, Preta, SaharaVoice, Loner, Wiselday, LilyFlower
hapo kny red pana utata,,,ameghairi baada ya kuona fimbo ya mbali......
hapo kny red pana utata,,,ameghairi baada ya kuona fimbo ya mbali......
Upo mbugani nini?
Naona hapa Posted via Mobile
halafu ujue unaniudhi,,nimekuachia mapaja uliyoagiza kule upande mwingine
Atiiiiiiiiiiiiiiii unasemaje?????
nimesema zd kasema leo tupande mlimani,,,,
Unajifanya haujaona swali langu kwenye red btw hivi ZD yuko wapi bana hata kama mlimani sio hivyo duh mwambie anataka kuwa PAPA nini
swali nimelichinjia baharini umezidi unoko,,,zd nahs anataka kuwa malaika au wamejenga vibanda mlimani wako na pope
Tunaziunga jioni mama tulia achana na wivu huyo Eng. Atakuletea hirizi bure ukaanza kuota ingawa Yaeda ni mbali simwamini sana huyu jamaa maana nasikia ni mndamba wa moro
mbona hufiki....zile za Derimto zishakatika
Niaje chaliii yangu nawasalimia kwa jina la baba na la mwana na la.......Naomba nisalimie wafuatao Derimto, hmethod, Preta, SaharaVoice, Loner, Wiselday, LilyFlower
hmethod thanx nimezipata
Habari yako Loner?Jamani hapo kwenye nyekundu mimi imenipa raha sana... Nimefurahi kuona Finest umefika salama na umerudi jamvini....
What it do nyc to hear from you dah i just mic youJamani hapo kwenye nyekundu mimi imenipa raha sana... Nimefurahi kuona Finest umefika salama na umerudi jamvini....