Wow thats nice hata sisi safari yetu inaanza 5dayz, ambae hakuitwa nikwamba hakufikia vigezo.
aminia sana wapendwa,safari njema,pondeni raha maisha yenyewe mafupi haya.
my dear hata mie natamani ile mbaya ningekua hapo saa hizi.mpendwa umekuwa adimu ghafla wish u were here
my dear hata mie natamani ile mbaya ningekua hapo saa hizi.
Sipati picha jinsi mlivyo na full maraha hapo mlipo.
siamini nimekosa kuwakilisha hizo pande,naomba tu unifikishie salamu zangu kwa wote wapwa na binamuzi tena naomba usisahau kuwaambia kwamba nina mapenzi mazito juu yao.weraweraaaaa. wadau ile siku yetu ndo imefika...caravan ndo linaingia tarangire. ni balaa 2pu njiani.
niambie shosti wangu,roho yangu imetulia kukuona ukiwa mzima na ushungi wako unaokupendeza vilivyo.mmmmhh da cheusi!!!!!!!!!!! Mi nakumiss tuu wallah!!!!!!!
mtuletee na zawadi ya vitoto vya ma grethinker maana lazima hiyo tour ipate endproduct!!!!!!!!!!!!!:teeth::teeth:
niambie shosti wangu,roho yangu imetulia kukuona ukiwa mzima na ushungi wako unaokupendeza vilivyo.
Hata mie nakumiss sana.
Natumai umekua na sikukuu njema.
naomba uniangazie malaria sugu yupo?
aminia sana wapendwa,safari njema,pondeni raha maisha yenyewe mafupi haya.