respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,838
Yaeh wakuu mambo vipi
Nipo hapa kwaajili ya sherehe ya Harusi ya jamaa yangu itakayofanyika hapa na tarehe tajwa. Shida ni kwamba nina kadi ya double nami niko niko single, So naona nitakuwa mpweke sana for almost masaa 6!!! yaani kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Ukiweza naomba kampani yako ili nisukume usiku huu mrefu kwangu. Waweza kuni-pm au funguka hapahapa. Shukrani na karibu sana..!!!
BACK TANGANYIKA