Habari Wana jamii,,nimeamua kuanzisha hii thread Ili kuelezea experience yangu na TTCL Fiber Ili iwe faida Kwa wengine wanaotaka kufahamu ..
Nitaelezea ufanisi wake kulingana na matumizi ya mtu husika..Miezi SITA iliyopita niliunga kifurushi Cha 55k ambacho ni 20MBPS. Hakuna installation fee zaidi ya kulipia tu kifurushi chako...Makundi ni yafuatayo.
1. OFFICE USE hapa out of 10 naipa rating ya 9.5 Kwa sababu iko reliable Complete outage ni mara chache na speed ni nzuri around 19mbps.
2. STREAMING hapa out of 10 naipa rating ya 8.5 Kwa sababu most of the time it's possible kupata 1080p hd quality na 720p all the time without buffering ..
3. GAMING hapa out of 10 naipa rating ya 0.5 at first 2 weeks ping ilikua vizuri ukitumiA VPN Fifa 23 Ping ilikua 55ms lakini baada ya apo ikawa 150ms plus..
my take Kwa matumizi ya kiofisi na streaming inafaa ila kama unataka kupata better experience in gaming achana nayo labda ujaribu kucheki package zao za juu.