Hello!

Hello!

Kaizer..NIMEKUFANYA NN MIMI MBONA UNANICHUKIA IVO?..HIYO APRIL ULINIONA NIMEJITAMBULISHA HUMU?...nimekuja humu kwa ridhaa yangu na kwa kupenda nikiwa sina tatizo na mtu yyt...unanichokonooooaa mpaka uko..hutaki niwe humu?
Labda kalenda ya JF ina matege....
 
Kaizer..NIMEKUFANYA NN MIMI MBONA UNANICHUKIA IVO?..HIYO APRIL ULINIONA NIMEJITAMBULISHA HUMU?...nimekuja humu kwa ridhaa yangu na kwa kupenda nikiwa sina tatizo na mtu yyt...unanichokonooooaa mpaka uko..hutaki niwe humu?

My dear mimisa....naongelea tu ninachokiona,,,,sio kwamba nakuchukia maana hakuna shemeu nimesema nakuchukia...wala sijakuchokonoa...i have my own way ya kuchokonoa, sio hii mimisa....

so get easy and lets move foward huenda macho yangu yana matege shauri ya uzee. Karibu. Unaenda white party? (usiandike tena kwa herufi kubwa, inaonekana kama unashout and that aint good for you)
 
Last edited by a moderator:
macho yako hayana matege...sitaenda white party,nikieleweka umu kwanza na kupata wenyeji wazuri ndo nitapata ujasiri wa kushiriki party kama hizo..sio ss..

Good...so at least I saw the Right thing... Madame B mwalimu wangu hujambo? hebu mshawishi basi mimisa ajepo white party, walau seeing is believing u know war am sain? LOL
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom