mh!.asante.japo sio miongoni mwao,naona jumba bovu linaniangukia apa.
asante.
asante sn..we mtu wa kwanza kunikaribisha umu..wengne wamenipa makavu adi nikajutia kuingia umu..tnx much bro.
pole mgeni naona umekuja wakati mbaya maana kulikuwa na hali mbaya watu bado hawajawa stable na hakuna kuamini tena wanaosema ni wageni
samahani swali la kizushi:mbona umemuita watu8 bro. Umetumia vigezo vipi kumbatiza hilo jina au umeangalia mwandiko?
karibu CC...
Abeeeee,eti manoah umeniita
Ndio nime kuita Rich woman
Tumewachoka sasa