missa
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 360
- 193
Niaje wana jamii? nimekuwa muda mrefu sana nikipita na kusoma comments za wadau mbalimbali bila kuchangia chochote,hongereni sana kwa mawazo yenu na ushauri mnaowapatia members wengine.
kilichonisukuma leo kuandika ni huyo mdada anaetaka kumbwaga mchumba wake aliyemsomesha hadi chuo kikuu kwa madai eti ni mshamba na hana degree kama yeye halafu anadai eti ni freemason jaman? na anadai amempata msomi mwenzie wanayependana kwa kweli it's so sad wajameni?
mtu aliyekutoa ushamba kwa kukupeleka shule ukasome na wewe uonekane mtu leo unamwita mshamba na freemasons, kweli kama kuna wadada wenye roho mbaya na ukatili kiasi hicho waache kwani ni dhambi jamii haipendi hata mungu hapendi!!!!!!!!!!!!!!