Hello, wana jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello, wana jamii

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Miwatamu, Oct 3, 2012.

 1. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  :eyebrows:
  Ndugu zangu kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia sana mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiingizwa katika uwanja huu wa watu pevu wanaohitaji mabadiliko ya kweli! Sasa kwa kuwa sote hatuwezi kusimama kwenye majukwaa na kueleza au kutoa mchango wetu kwa lile tunalolijua au kuliamini, ndio maana nimeona kuwa ni bora niungane nanyi ili tusaidiane kutengeneza mchakato wa maisha bora yanayowezekana bila CCM. Asanteni kwa kunipokea. Nawasilisha!:poa
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Tutaona faida ya wewe kuja endapo tu akili yako itakuwa na akili timamu si kama akina Zomba kukiri ukweli ni mpaka wabanwe mbavu ndiyo wanalia lia .Karibu sana jamvini ila kwa kuanza nashauri uchapwe ban kwanza ili uzinduke .
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  karibu nidhamu kwanza.
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wana jamvi mie c kama mnavyofikiria! kuja hapa ni kwa sababu ya kujenga hoja za msingi na wala c za kuboa mikakati ya mafanikio. Utanisoma tu, ngoja nivute pumzi.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,014
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Karibu sana JF mkuu.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,014
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  jukwaa siyo lenyewe....
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  karibu sana jamii forum.
  Ila uelewe hapa ni uwanja wa kila chama, sio wa chama kimoja
   
 8. W

  Welu JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 779
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Karibu
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,751
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Dah,mkuu!!
  Mgeni kafanya nini hadi azinduliwe kwa ban mkuu?
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,751
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Karibu sana mgeni
   
 11. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,966
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Karibu Mkuu.
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Karibu sana.
   
 14. Root

  Root JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,821
  Likes Received: 5,049
  Trophy Points: 280
  Aisee umekuja na bonge moja la idea

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 15. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 4,152
  Likes Received: 2,982
  Trophy Points: 280
  Karibu sana, ila jitahidi sana kutumia herufi zinazotakikana katika kiswahili
   
 16. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,338
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Karibu sana JF
   
Loading...