OMKEIT 93
JF-Expert Member
- May 12, 2026
- 294
- 442
Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ?Karibu sana JF
Kwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ?Karibu sana JF
Si lazima mkuu ni maamuzi binafsi ya mtu kuomba kukaribishwaKwani ni lazima kuomba kukaribishwa humu ndani ?
Mwandishi kwa mwandiko huu mmh🏃🏃Mimi ni mgeni hapa, nimeahidiwa upendo naushirikiano kutoka kwenu naitwa rayamikhal nimwandishi na mtafiti pia hasa kwenye masuala nyeti na ya biashara natumaini kujiunga nanyi litakuwa ni jambo sahihi.