Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,678
A.k.a kiranja mnoko kabisa😘 karibu naitwa Lamomy, muungwana wowote akikutongoza pm ni add nikusaidie kufatilia mazungumzo yenu wasije kukudanganya..!!
Mimi nipo kitengo cha kudhibiti majambazi wa mapenzi okay?
Muelekeze asije akakosea akaifunga akaunti yake😂
Pole usijali atarudi, nilidhani hujaolewa ili nije nikuoe.Niliolewa ila mume wangu sijui hata yuko wapi alikuwa ni konda wa magari ya nje alienda hajarudi ni stori ndefu sana ameniacha na mimba yani nawaza na kuwazua ndugu yangu
Mwezi wa nne huu sasa sjui kama yupo mzima😭Pole usijali atarudi, nilidhani hujaolewa ili nije nikuoe.
True malipo muhimuSio mimi sisi tulioandikiwa jf expert member, platinum member nk tunalipwa🤪 kwa mwezi
Itakuwa sio vizuri wakati wenyeji wapo 😂Muelekeze asije akakosea akaifunga akaunti yake😂
Una kadi ya CCM?Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
SinaUna kadi ya CCM?
Eeeeh Jackpiano sema kuna vigezo inatakiwa uwe navyo si ndio🤣🤪True malipo muhimu
Wewe naeee umekomaaa na MASISIEMUna kadi ya CCM?
Pole mgeni kwahiyo hapo una mimba ya miezi mingapiMwezi wa nne huu sasa sjui kama yupo mzima😭
Oooh kumbe form six 🤣🤣🤣🤣N
Dio
Nilimaliza zamani kdgOooh kumbe form six 🤣🤣🤣🤣
4Pole mgeni kwahiyo hapo una mimba ya miezi mingapi
Kaa kimyaWewe naeee umekomaaa na MASISIEM
Hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaa kimya