Hello Guys i am new member

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
948
547
Nimeona categories tofauti je category hii zaidi humu kunazungumzia nini hasa au ni vitu vya aina gani vinaruhusiwa kupostiwa humu unajua ukiwa mgeni japo huna kamba mguuni ila ni wajibu kushirikiana na wenyeji wakujuze zaidi
asante.
 
Jenga hoja za msingi na za kueleweka

Story au habari usiokuwa na uhakika nayo usipost

Kupost post picha kama Facebook au Insta hapana aisee (Japokuwa jukwaa la picha lipo..ila sio za kwako wewe binafsi)

Heshimu mawazo ya kila mtu, huku kuna watu mchanganyiko

Epuka uchochezi wa aina yoyote ile...

Ukiona huelewi kitu vizuri uliza kwa lugha inayoeleweka na yenye staha..

Mwandiko wa kifacebook hauna maana huku kwa Great thinkers mfano.. xo xaxa

Mengine utajifunza kadiri ya siku zinavyokwenda mkuu
 
Karibu mkuu,
kila jukwaa linajieleza so keep on reading posts utajua kila jukwaa kinaendelea nn.
 
Jenga hoja za msingi na za kueleweka

Story au habari usiokuwa na uhakika nayo usipost

Kupost post picha kama Facebook au Insta hapana aisee (Japokuwa jukwaa la picha lipo..ila sio za kwako wewe binafsi)

Heshimu mawazo ya kila mtu, huku kuna watu mchanganyiko

Epuka uchochezi wa aina yoyote ile...

Ukiona huelewi kitu vizuri uliza kwa lugha inayoeleweka na yenye staha..

Mwandiko wa kifacebook hauna maana huku kwa Great thinkers mfano.. xo xaxa

Mengine utajifunza kadiri ya siku zinavyokwenda mkuu
 
Karibu sana mgeni!!!
Ningekushauri utumie siku chache kuisoma JF... Hizo categories zipo kama majina yake. Kua huru kujiachia ila kuna mipaka kidogo.
 
asante na nimekuelewa
 
Karibu sana mgeni!!!
Ningekushauri utumie siku chache kuisoma JF... Hizo categories zipo kama majina yake. Kua huru kujiachia ila kuna mipaka kidogo.
sawa nitajitahidi hapo kwenye mipaka ndio shida nahitaji kuijua hiyo mipaka
 
Mbona inaonesha umejiunga mwaka jana mkuu? Halaf unadai ni new member,au unatuchora.
Screenshot_2017-05-23-23-58-24.jpeg
 
Karibu sana japo umekimbilia MMU kujitambulisha
hahaha amna ila niliingia kwenye new posts nikakuta post ambayo ipo humu so namimi sikupoteza muda nikaamua kupost utambulisho kuwa namimi nipo ila niambie wapi kwengine kuna nifaa maana mimi ni kijana wa miaka 20 so siasa siwezi nambie wapi patanifaa
 
Back
Top Bottom