61,52,63,94,46,A.Pambanua mtiririko huu kisha uitambue namba 'A' ambayo ni namba inayofuatia katika mtiririko huu baada ya 46.
the number comes after 46 is 18
maswali ya shule ya msingi hayo bhana! Tukishaitambua??? itatusaidia nini?? haina tija mzee. jibu lake halisaidii hata kuondolea stress. ni mtazamo tu.
Hahahaha...Jaguar, tupe hint kidogo basi!
Chuku hizo namba zigeuze mkuu, badala ya 61 weka 16 ....52 weka 25 .........hivyo ni vipeuo vya pili vya number gani?
Ngoja niende zangu porini tarudi jioni