kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 744
- 1,080
Na ukimaliza kugegeda unahongwa wewe,yaan raha tupuHuku ni rahisi sana kugegeda bila kuhonga
Na ukimaliza kugegeda unahongwa wewe,yaan raha tupuHuku ni rahisi sana kugegeda bila kuhonga
Nikae kimya wakati unapotosha? Acha ujingaAcha povu, ninyi ndio mnaotuharibia lugha... Ungekaa kimya ungeonekana una busara zaidi...
Dunia ilivyounganishwa kimawasiliano na kuwa kijiji, kuna bidhaa unaweza ifikisha sehemu, ikaonekana ni ngeni kabisa na watu wakaanza kuishangaashangaa kwa kukenua meno?Unaelewa maana ya consumables?
Bidhaa zinazotembea kila siku, hata nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe unayerukia yasiyokuhusu...Nikae kimya wakati unapotosha? Acha ujinga
Wazee wa fursa tupo,
Nyie diaspora, ni vitu gani (bidhaa, huduma) ambazo huko mnakoishi vipo ila bongo havijafika??
Tajeni zile ambazo ni consumables, ambazo hata bongo zaweza kuwa consumed.
Strip clubs
Bongo zipo bana ila hawamwagi radhi sawa sawa[emoji4]
Mkuu vitu vingi vya nchi za bara la ulaya ni expensive kutokana na kuwa na ubora wa hali ya juu!Labda kama unataka vitu used ndio havina bei maalumu!fursa iliyopo ni kwamba Diaspora wanakuwa wanamiss sana vitu vya nyumbani hasa vitu vya asili!mfano sendozi za kimasai tu unaweza kuwauzia Diaspora kwa kila pea moja 30usd na vitu vingine vingi tu!japo pia kuna maduka ya kiafrica vitu vinakuwa bei juu kwahiyo ukiweza kuingiza vitu ulaya bado unanafasi kubwa sana ya kuuza bei nzuri!bila kusahau vumbi la Congo unaweza ukawauzia watu bei yoyote unayotaka kuanzia USD 200 na bado watu wakanunua sababu ulaya kutokana na Yale mavyakula ya ovyo ovyo kila kukicha nguvu za kiume zinapungua kwa kasi ya ajabu.Wazee wa fursa tupo,
Nyie diaspora, ni vitu gani (bidhaa, huduma) ambazo huko mnakoishi vipo ila bongo havijafika??
Tajeni zile ambazo ni consumables, ambazo hata bongo zaweza kuwa consumed.
Mkuu vumbi la kongo mamlaka za huko si lazima zikukabili?Mkuu vitu vingi vya nchi za bara la ulaya ni expensive kutokana na kuwa na ubora wa hali ya juu!Labda kama unataka vitu used ndio havina bei maalumu!fursa iliyopo ni kwamba Diaspora wanakuwa wanamiss sana vitu vya nyumbani hasa vitu vya asili!mfano sendozi za kimasai tu unaweza kuwauzia Diaspora kwa kila pea moja 30usd na vitu vingine vingi tu!japo pia kuna maduka ya kiafrica vitu vinakuwa bei juu kwahiyo ukiweza kuingiza vitu ulaya bado unanafasi kubwa sana ya kuuza bei nzuri!bila kusahau vumbi la Congo unaweza ukawauzia watu bei yoyote unayotaka kuanzia USD 200 na bado watu wakanunua sababu ulaya kutokana na Yale mavyakula ya ovyo ovyo kila kukicha nguvu za kiume zinapungua kwa kasi ya ajabu.
Sent by Diaspora
Huwezi amini niliwauzia watu majani ya mpera kwa 30usd!muafrica hata akiwa wapi bado ana mambo yake ya kizamani!majani ya mpera wanachemsha then wanajifukiza wanasema inaondoa homa mbalimbali!kama sehemu wanazokaa wacongo carolight ni bidhaa ambayo utauza bei unayotaka wewe!kuhusu kuingiza kwa wingi ni issue ila ukibeba kwenye begi lako la nguo hawana time na weweMkuu vumbi la kongo mamlaka za huko si lazima zikukabili?
Mana huko nasikia ishu za madawa wako sensitive sana.
Kwa hizo Cultures kidogo umenipa mwanga.
Mkuu upo ulaya ipi kaka?
Ulaya ipi mkuu?Wacongo ulaya ni wengi sana hadi unaweza ukajiuliza nipo Lubumbashi ama nini!na ushamba wao upo pale pale miaka nenda miaka rudi
Sent by Diaspora
Ndo zipoje hizo mkuu?Strip clubs
Wacongo wapo Sweden na Denmark, ila wamerundikwa hasa Australia, Canada na marekani wapo wengi sana!kwa makadirio ya chini kabisa ni wacongo 2000 wanaopelekwa ulaya kila mwakaUlaya ipi mkuu?
Ufaransa, uk, italy?