Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

Wacongo wapo Sweden na Denmark, ila wamerundikwa hasa Australia, Canada na marekani wapo wengi sana!kwa makadirio ya chini kabisa ni wacongo 2000 wanaopelekwa ulaya kila mwaka

Sent by Diaspora

Umefika kote huko mkuu baba? Australia, Canada, sweden,Denmark?
 
Mjinga wewe unayerukia yasiyokuhusu...
Yangekuwa hayanihusu ungechangia mada PM kwenye akaunti ya uliyemjibu, ila kwakuwa umeanika ujinga wako hadharani jukwaani, ni wajibu wangu kukurekebisha ili usipotoshe wanajukwaa, eti 'consumables' ni vyakula pekee, na ukategemea tukae kimya? Bogus
Screenshot_2018-08-25-10-58-32.png
 
Yangekuwa hayanihusu ungechangia mada PM kwenye akaunti ya uliyemjibu, ila kwakuwa umeanika ujinga wako hadharani jukwaani, ni wajibu wangu kukurekebisha ili usipotoshe wanajukwaa, eti 'consumables' ni vyakula pekee, na ukategemea tukae kimya? Bogus
View attachment 846419
Acha upoyoyo, ni wapi nilipoandika au kulazimisha kuwa consumable ni chakula pekee? Nadhani unawashwa! Kwa namna nilivyokuwa nikimuuliza mtoa mada alijua ni jokes ndiyo maana hakuendelea ila wewe kwa ujinga wako umevalia njuga mambo yasikukuhusu, eti unaniletea maana kutoka google, ina maana hujiamini?...
 
Back
Top Bottom