Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

Acha upoyoyo, ni wapi nilipoandika au kulazimisha kuwa consumable ni chakula pekee? Nadhani unawashwa! Kwa namna nilivyokuwa nikimuuliza mtoa mada alijua ni jokes ndiyo maana hakuendelea ila wewe kwa ujinga wako umevalia njuga mambo yasikukuhusu, eti unaniletea maana kutoka google, ina maana hujiamini?...
Kumbe unaandika usichomaanisha? Basi tuishie hapa
 
Mi niko kama wewe tu[emoji15] [emoji23] ....siku nikidondoka pale Sydney sirudi huku mazima!

Ngoja niendelee kuchat na Nicole Kidman hapa anipe ramani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nishakata passport hizi mpya za magufuli kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nishapata kamchongo cha kwenda Malta, nakusanya nguvu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom