Mwananchi Mwandamizi
Member
- Sep 27, 2015
- 57
- 52
Si mzoefu wa blog lakini naweza changia mtazamo wangu.
Naona umelenga audience ya nje ya Tanzania zaidi kwa kuwa una-publish kwa kiingereza.Nadhani hiyo inaweza ikawa challenge kwenye kupata advertisers wa ndani ya nchi.
Lakini nafahamu kuna kina google-adsense, revenue hits etc ambazo watu hutumia kuweka ads na kupata passive income.
Hapo sasa nguvu nyingi inapaswa kuwa katika kuvutia traffic zaidi kuja kwenye blog yako.
Ni mtazamo wangu.
Acha wazoefu waje wakupe madini.
to be honest iko vizuri ata ukiaaply google adsense unawezaa kubaliwa ebu jaribu
Uko vizur umenifunika kabisa
Kwa design zako itabidi nkutafute unipe darasa
BRO NI PM TUSHAURIANE MIMI PIA NI BLOGGERWakuu natumai nyote mu-wazima.
Binafsi ni mgeni katika blogging business, I have gotten my own blog, sasa najua humu kupo na wataalamu na wazoefu wa hii business.
Hivyo basi naomba kusikia kutoka kwenu juu ya madhaifu ya blog yangu, uimara wake na nini niboreshe pia on traffic increasing and so forth ambayo ni http://myoutlookstz.blogspot.com
kaka blog imetulia yani iko clean ... cha muhimu ni kuregister domain haraka iwezekanavyo.... then apply google adsense ....
pia kwa upande wa kupata traffik nakushauri uanze kutumia swahili endapo google adsense watakukubalia na kukupa acc......... ukikaza kwenye eng language hautapata chochote mtu wangu.... si unajua tz watu wengi ni waswahili...... hawajui ngeli.... pia kupunguza commpetition na site za nje kubwa kubwa,....najua articles zako nyingi utakuwa unzitoa somewhere kene ma website ya nje... so kwenye search engine hautaonekana kirahisi
Acha kudandia thread ya mwenzako. Mbona usitulie tu na ukachukua ushauri unaofaa anaopewa mwenzio? Wabongo kwa kudandia mambo duh!Nimejikuta nimefurah kuiona hii thread,mm pia ni blogger na ninahitaj kupewa msaada kwa wanaofahamu jins gani niiboreshe au kitu gani niongeze au nilekebishe..ntafurah kujifunza kutoka kwenu. Address ya blog yangu hii apo chini
Tanzania Youth Vision
Kuna umuhimu gani wa kuregister domain ?..je kuna athari gani kama nikiendelea kutumia blogspot ?kaka blog imetulia yani iko clean ... cha muhimu ni kuregister domain haraka iwezekanavyo.... then apply google adsense ....