Supporting Documents zipo ila tatizo linakuja ni halali?Au pia zimekuwa forged?Ukumbuke Singasinga mwenyewe ni tapeli la dunia unafikiriaje Transactions zitakapopita?
Mmh..na kweli ndugu yangu, kama computer vile...garbage in garbage out...
Supporting Documents zipo ila tatizo linakuja ni halali?Au pia zimekuwa forged?Ukumbuke Singasinga mwenyewe ni tapeli la dunia unafikiriaje Transactions zitakapopita?
Ku-verifu documents ni kazi nyepesi sema bankers wenyewe huwa hawa-verify! Kwa mfano, kama ni government cheque, basi lazima kuwe na payment vourcher pamoja na checklist... hapa kwenye checklist ndo tatizo! Sasa basi, si tu kwavile checklist imeletwa benki na ina saini zote na unazifahamu, bado bankers wanatakiwa kupiga simu ku-confirm ikiwa wanaitambua checklist iliyoletwa benki. Hata hivyo, mara nyingi huwa hawafanyi na ndipo inapotokea wakati mwingine kugundulika kwamba kumbe checklist iliibiwa na kuletwa benki kabla ya wakati!!!Supporting Documents zipo ila tatizo linakuja ni halali?Au pia zimekuwa forged?Ukumbuke Singasinga mwenyewe ni tapeli la dunia unafikiriaje Transactions zitakapopita?
Katika mazingira ya kawaida, statement inachukuliwa kaunta lakini kwa status ya PAP, muhusika atakuwa alichukulia statement kwa manager au mtu wa chini yake! Statement ikishatolewa, ni lazima ipigwe muhuri na kusainiwa na muhuri unakuwa available kwa staff and anyone can sign provided ni official signatory kwahiyo not necessarily kwamba anayesaini lazima awe ndio huyo Head of Legal Service. Na hata ukisoma hiki cheo (Head of Legal Service)... huyu sio banker na mara nyingi kama sio zote hawa watu wankuwa HQ.
That's one but second, kutoa na kusaini statement hakuna uhusiano wowote na kufahamu wapi transaction inaelekea... transaction inaweza kuwa imefanyika miaka kumi iliyopita na statement ikatolewa na kusainiwa leo!! Mtu pekee ambae anaweza kujibu swali la wapi pesa zimeenda ni mtu anayehusika na money transfer... huyu anaweza kuwa ofisa wa kawaida tu lakini kwa kuwa transaction zenyewe ni kubwa sana basi LAZIMA Branch Manager na/au assistance wake watakuwa wali-approve hizo transfer. Hivyo basi, mbali na Money Transfer Officer (or whatever the title they call), wengine walio kwenye nafasi ya kujibu ni meneja na assistance wake (for dual signature)
hii transfer ilitoka bot na kuingia stanbic, sasa mnataka approval ya bot wakati fedha imetoka huko huko, mkumbuke bot waliwalipa pap kwa mafungu mafungu, dolla na tsh
Mmh..na kweli ndugu yangu, kama computer vile...garbage in garbage out...
Huyu ni Head of Legal Services wa Stanbic Bank na ndiye aliesain Statement of account ya PAP
Anawajua beneficiaries woooote wa akaunti hiyo
Hivi hawa Stanbic sakata la Mikopo kwa wafanyabiashara wa Kariakoo na staff wao liimeishia wapi?
Sakata la Bashir Awale na mkopo wa mamilioni y dola anbayo BOT hawakujua kimeishia wapi?
Hakuna kitu rahisi kama kugundua forged documents,ila shida ni pale pesa ilitumika kila mahali,Manager wa Bank amepewa forged data,kwa cashier vivyo hivyo.Hivyo documents zitapatikana lakini zote ni forged.
Ku-verifu documents ni kazi nyepesi sema bankers wenyewe huwa hawa-verify! Kwa mfano, kama ni government cheque, basi lazima kuwe na payment vourcher pamoja na checklist... hapa kwenye checklist ndo tatizo! Sasa basi, si tu kwavile checklist imeletwa benki na ina saini zote na unazifahamu, bado bankers wanatakiwa kupiga simu ku-confirm ikiwa wanaitambua checklist iliyoletwa benki. Hata hivyo, mara nyingi huwa hawafanyi na ndipo inapotokea wakati mwingine kugundulika kwamba kumbe checklist iliibiwa na kuletwa benki kabla ya wakati!!!
Na watu wamekusimamia mgongoni upitishe....
Sio kweli labda itaratibu wa huko hamana
Hapo kwenye RED umemaliza... ubongo wangu uli-stuck! Hapo sio huenda... ndivyo ilivyokuwa, so u're 100% RIGHT!!!
Tukirudi kwenye suala kuwa na watalaamu wa kila idara... you're 100% RIGHT! POlisi wa kawaida hata mwanasheria wa kawaida, hawezi ku-solve issues kama hizi vizuri... never ever!!! Mambo kama haya lazima yawahusihse watalaamu wa kibenki! Binafsi huwa nashangaaga sana wanaposema inakuwa ngumu sana kufuatilia kesi hii ama ile kuhusiana na wizi wa aina hii au ile lakini ukisikiliza unakuta issue yenyewe ni nyepesi tu... lakini tatizo ndo kama hivyo tena, polisi wa kawaida anafuatilia banking forgery... kamwe hawezi!!! Wakati mwingine huwa wanatumia "bankers" lakini wanapokosea wanachukua bankers wa HQ... mtu wa HQ unless awe ameshakaa branch au amefanya operations, otherwise na yeye hawezi kuwa na msaada!
Sio siri, nimezi-miss siku zangu za kuwadaka watu wa forgeries! Majority ya forgeries zinazotokea wala sio za kutumia akili sana... zinatokea kwa sababu tu wengi wetu ni wazembe.
![]()
Is a transactional lawyer specializing in banking, corporate and commercial contracting in the sectors of manufacturing, transport, distribution, mining, real estate and Government affairs. She has experience in drafting and reviewing corporate agreements as well as identifying and advising on legal risks in commercial and banking transactions. Ms. Makanza has worked with numerous local and international clients in company formation, commercial transaction structuring and security offerings in the East Africa region. She joins Forbix Attorneys after a long career in prominent banking institutions throughout Africa.
Career
Partner, Forbix Attorneys, 2012 Present
Advocate, High Court of Tanzania, since 2011
Regional Head Credit Legal, Stanbic Bank Tanzania Limited 2009 2011
Head of Credit Support, Stanbic Bank Tanzania Limited 2007 2009
Company Secretary and Head of Legal, African Banking Corporation Tanzania Limited 2004 2007
Head Legal and Compliance, African Banking Corporation Tanzania Limited 2002 2004
Trainee, MRN&M Advocates, Dar Es Salaam, Tanzania 2002 2003
Qualification
LL.M (Law) University of Kent Canterbury, 2000 2002
LL.B (Law) University of Bedfordshire, 1997 2000
Statement huaga anasign mtu yoyote tu ktk benki..